Universe will never reward goodness

Universe will never reward goodness

Joined
Aug 26, 2025
Posts
63
Reaction score
114
Universe doesn't reward goodness that's why bad people seem to win ...unajua kwanini ?!

You can be kind,mwemye moyo mweupe kama theluje ..mstaarabu ila kama energy yako ipo stuck kwenye fear,guilty unakuwa unarepel maisha ambayo yanakufaaa....

Ila mtu mchoyo, mbinafsi au mwenye chuki na anayejua thamani yake willreceive good things not because they are better is because their frequency energy is clear hii tutapply kwenye uongozi ata kwenye mahusiano

NB universe does not operate in morals it operates on mirrors this means you don't attract what you deserve you attract what you believe you are worthy of. ...

Tune your energy to what you want

LIFE IS NOT RESPONDING TO THE BAD BUT RESPONDING TO THE BELIEFS
 
Kwenye mahusiano hapa IPO hivi
Unakuta mdada hafanyi chochote ili kumvutia mwanaume kama kujipendekeza kufua na kupika ;ye ni spendthrift..club girl..feminist yeye always ata attract men of wealth who will spend on her give her gifts give her a car and buy her a house because universe reward what she think she is worthy of ....

Utakuta huyu mwingine anafua anapika ni simp anajipendekeza Kwa mama mkwe..anatumia Hela Kwa kubana matumizi haendi club ila yeye siku zote atachukuliwa for granted maaana hajui thamani yake na wanaume atakao pata ni wale wa kumtumia TU na kumuacha ....
 
Kwenye mahusiano hapa IPO hivi
Unakuta mdada hafanyi chochote ili kumvutia mwanaume kama kujipendekeza kufua na kupika ;ye ni spendthrift..club girl..feminist yeye always ata attract men of wealth who will spend on her give her gifts give her a car and buy her a house because universe reward what she think she is worthy of ....

Utakuta huyu mwingine anafua anapika ni simp anajipendekeza Kwa mama mkwe..anatumia Hela Kwa kubana matumizi haendi club ila yeye siku zote atachukuliwa for granted maaana hajui thamani yale na wanaume atakao pata ni wale wa kumtumia TU na kumuacha ....
ukweli mtupu mkuu
 
📌 universe doesn't reward goodness that's why bad people seem to win ...unajua kwanini ?!

📌You can be kind,mwemye moyo mweupe kama theluje ..mstaarabu ila kama energy yako ipo stuck kwenye fear,guilty unakuwa unarepel maisha ambayo yanakufaaa....

🪨Ila mtu mchoyo,mbinafsi au mwenye chuki na anayejua thamani yake will
receive good things not because they are better is because their frequency energy is clear hii tutapply kwenye uongozi ata kwenye mahusiano

NB universe does not operate in morals it operates on mirrors this means you don't attract what you deserve you attract what you believe you are worthy of. ...

📌Tune your energy to what you want

LIFE IS NOT RESPONDING TO THE BAD BUT RESPONDING TO THE BELIEFS✍️
Roho mbaya daima inalipa,fanya roho nzuri kama utanufaika
 
Back
Top Bottom