Universal Moderm inaitajika

Universal Moderm inaitajika

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,578
Reaction score
1,817
kwa yeyote mwenye universal moderm{moderm inayotumia lain zote} tuwasiliane kwenye 0715812160.
 
km unahitaji program ya ku instal kwenye comp yako uweze tumia lain zote sema nikupatie.

NB.
Ila haifanyi kwa hiz moderm za airtel za 3.75G, ila za kizaman pouwa, tigo, voda unapeta tu.
 
nashukuru sana MAB, ila hizo softs ninazo; join air na internet key but issue inakuja ni ya mama 1 kaniomba na yeye ni m2 wakutumia pc za watu hana yake so anatka akiw kw office, au kw marafk zake atumie...!
 
Mi ninayoT-Mobile Web & walk ExpressCard III unaweza pata speed mpaka 7.5Mbps bei 150,000 (fixed)
nipigie 0754 432409 kwa maongezi ya manunuzi tu ......sio punguzo na nyimbo
 
Thax.
But kwa hiyo bei haiwezekani kw vyovyote.
 
Back
Top Bottom