Units of Computer Memory Measurements

Anaposema a bit can contain only two values ether 0 or 1 anamaanisha kuwa kwanza kabisa computer hai-understand language ambayo sisi tunaiandika yenyewe inaelewa machine language whicha is the language which can only be understood by the computer. machine language hiyo haitumii herufi, namba au alama ambazo sisi tunazisafahamu bali inatumia binary digits ambayo ni either iwe 0 or 1. herufi au tarakimu yoyote utakayotype katika computer yako computer yako haitoelewa kama umetype hiyo herufi bali yenye yenyewe itaelewa kuwa umetype binary code. process ya kuntraslate from language uliyoitype tu machine hufanywa na compiler or interpreter.

na ili herufi au tarakimu hiyo iweze kuoneakana katika computer yako lazima iwe na binary codes 8 either 0 or 1 na zikishafika binary code 8 haiwezi kuwa a bit tena kwa sababu a bit ni binary code moja tu ether 0 or 1. Mfano: wewe ukitype 2, computer yako haitaelewa kama umetype mbili na badala yake itaelewa kuwa umetype 00000010.

Kwa kuhitimisha naweza kusema kuwa herufi au tarakimu yoyote utakayotype kwenye computer yako ina ukubwa wa one byte.
141-188-thickbox.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom