kazi imeanza sasa,mnafiki Russia ashaondoa raia wake juzi,anajua nini kitafata,Marekani akiamua kitu nchi kama Russia na China zitapiga domo tu lakin kamwe aziwezi ingilia
subiri mziki uanze ndo tutaona,ila assad safari hii atatoka mzima.nasikia atakua kwenye ile kambi ya navy ya mrusi pale tartus ,na pale marekani hawezi kupiga,pia kuna meli za mrusi kibao hapo anaweza kukaamo huku akicontrol situation frontline.Us alikuwa mbabe wao osama bin laden tu
Come on boy! We are talking of peoples lives, and remember the bombs will make no distinction between the assad regime and the civilians at once,the other ways would have been better,though assad is to be overthrown!
Geeky,Ritz, for a war that's been goin on for too long with the UN paralyzed over decision to intervene I support intervention efforts to cripple Assad. Chemical weapons are on the loose, plus the refugees crisis is of biblical proportions and nobody seems to care. someone should act.
drone mbona kila siku zipo...afterall drone haitumiki kwenye activebombing ,labda useme umemiss vitu kama B52,B1,B2,F22,F35jointstrike etc.
Geeky,
Hakuna cha silaha za sumu wala nini ni vita vya kimaslahi zaidi.
Hata Urusi kukomaa siyo kwamba anawapenda sana Syria anapigania maslahi yake Syria ikipigwa watakuja watawala wapya wataruhusu bomba za gesi kutoka Qatar na Islael kupita Syria kwenda Ulaya, Urusi atakosa soko la gesi Ulaya, sehemu Ulaya wanauziwa gesi na Urusi na soko bei anapanga yeye.
Vita vya Ghuba Marekani alikuwa rafiki mkubwa wa Syria ndege za kumshambulia Saddam zilikuwa zinatokea Syria.
Watu wengi wameshikiwa akili na CNN, ABC, FOX NEWS.
Kwa ujumla huu mpango utawaumiza zaidi raia wasiokuwa na hatia wala faida na mzozo huu. Na vita hii itagharimu roho za raia wengi kuliko wale waliokufa kwa gas ya sumu.
Marekani kama inataka kumuondoa Asaad, ingefanya mission ya kumuondoa Asaad kama Asaad bila kugharimu roho za raia wasiyo na hatia.
israel kama hujui mambo ya current affair nao wanategemea msaada wa ulinzi toka marekani.Tena wangewapa hiyo kazi wa Israel
dah!..afadhali vita maana nilimis sana zile drones za marekani...na yale ma B52 du patapendezaje hapo Syria..God bles u AMERICA forever.
israel kama hujui mambo ya current affair nao wanategemea msaada wa ulinzi toka marekani.
Si uamuzi rahisi kwao kwa sababu kuna "Islamists", al-qaedah wanaopigania upande wa upinzani kumuondoa Bashar Assad hivyo watawafanyia kazi ya kumuondoa Assad.Bado congress wanaonekana wazito kuunga mkono vita ,ila leo wanataraji kupiga kura na kampeni ziko juu sana.
daamn,, hv na mashetan yamo humu siku hizi,, ingekua ni tanzania ungeshabikia hivyo, au hata hizo sumu hujui zilitumika chini ya mkono wa hao vampires wenzako US?dah!..afadhali vita maana nilimis sana zile drones za marekani...na yale ma B52 du patapendezaje hapo Syria..God bles u AMERICA forever.