United fans asubuhi hii

United fans asubuhi hii

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
25,301
Reaction score
40,930
FB_IMG_1545038097184.jpg
 
Kwa style hiyo hiyo mourinho atafuta upenyo kufika airport ya jiji la Manchester
 
Sacked by Chelsea, ,Madrid, Chelsea tena..and now Man Utd. The Special one (soma "losing one") is highly overrated. Sasa sijui nani atampa kazi tena. Huyu jamaa ukimpa Brighton, Stoke, Fulham etc, utaziokotea daraja la 5 huko. Mtu gani kila siku kulilia wachezaji huku una benchi la players worth £200 million?
 
Naona mkuu unataka fursa ya Avator yako.! Ha ha haa, kwa hakika anaihitaji huduma yako sana.
 
I can do a better job mkuu. Kweli unafyeka Pogba, Mata, Sanchez, Martial na unaweka Ferrain, Matic, Herrera?
 
Back
Top Bottom