UNICEF: Idadi kubwa ya Watoto katika Nchi zinazoendelea hukosa chakula bora

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Shirika la Kuhudumia Watoto (UNICEF) imesema theluthi moja ya Watoto chini ya miaka 2 katika Nchi zinazoendelea hupata Chakula wanachohitaji kwa ukuaji bora

Ripoti ya UNICEF imesema majanga mbalimbali ikiwemo ghasia, mlipuko wa COVID-19 na mabadiliko ya Tabia Nchi yamekwamisha Maendeleo ya Lishe kwa Watoto katika Mataifa 91

======

Only a third of children under two in many developing countries are fed what they need for healthy growth and no progress has been made on improving their nutrition over the past decade.

Unicef, the UN’s children’s agency, said in a report published on Wednesday that a combination of crises from Covid-19 to conflict and the climate breakdown had stunted progress on children’s nutrition in 91 countries.

According to the report, half of children aged from six to 23 months across a range of developing countries were not fed the minimum number of daily meals and even fewer had a diverse diet that met minimum requirements.

Ahead of the UN’s food security summit on Thursday, Unicef UK said the British government could help tackle the problem by investing in nutrition.

As a result of poor diets, children can fall behind in school, become more vulnerable to illness and suffer the effects of malnutrition, including stunting and wasting, as well as becoming overweight or obese. Unicef estimates more than 11 million children under two are vulnerable to wasting globally.

Source: The Guardian
 
Corona ni ya juzi tu, nyie wazungu acheni uchafuzi wa hewa kwa tabia nchi na vita na wizi wa mafuta na ubeberu wenu wa kutawala nchi za afrika kwa kuweka vibaraka wenu ndio chanzo cha vita na umasikini wa raia, ishini kwa haki muone mambo vile yatabadilika
 
Back
Top Bottom