Unguja: Wadaiwa kulawitiana kwenye mahabusu ya Polisi

Unguja pemba na pwani yote kwa ujumla haya mambo yametaradadi sana nowdays.hata siku za nyuma sijui kuna matatizo gani huko.
 
Hawajionei hata huruma, Mungu akikasirika ni jambo la kulala kuamka ukute kisiwa kimemezwa na Indian Ocean.
 
Vijana wawili ambao walikuwa wameshikiliwa kwenye kituo cha polisi mjini Unguja wamedaiwa kujitenga na wenzao ndani ya mahabusu hiyo na kujificha kwenye kona kisha kuanza vitendo vya kulawitiana huku wenzao wakishuhudia kwenye mahabusu hiyo.

Mwananchi
Mambo ya Zenji yasiletwe huku kwetu bara.
 
Hayo yapo Tanzania nzima hivi sasa. Tuliona Mwakyembe akitangaza NGO zinazoongoza kwa kuatawanya hayo mambo. Hayasemeki tu lakini yapo, tena sana.

Wizra ya maadili inayoongozwa kwa sasa na Dkt. Gwajima D imefeli kabisa na huyo dada tukimpa ushauri anasema "chuki binafsi".
Watu wasiseme kwamba eti haya mambo yapo Zanzibar, Mombasa, Lamu sijui na Tanga, hapana kwa ulimwengu huu tulionao wa kidigitali kwa miji mikubwa yapo kila mahali, kwa Wakristo, Waislamu, kwa wenye imani za Jadi hata wenye imani za fremanson na matawi yake,
Huwezi amini kwa Tanzania bara na visiwani kwenye maswala ya ushoga usishangae Zanzibar kwenye top 3 haimo,
Dar es salaam, Arusha, Iringa na Mwanza ziko juu kwenye haya mambo,
Shule za boarding, vyuoni huko, watoto wetu wa kiume wa chini ya miaka 18 kuwaruhusu kulala na wageni, ndugu jamaa wenye kuwazidi umri kwa sasa ni hatari,
Saa nyingine watoto wenzao wanaocheza nao mitaani, vitoto mara vinafundishana vyenyewe kwa vyenyewe,
Wazazi tuwe wawazi kwa watoto wetu hasa wa kiume, mtoto aambiwe kwa uwazi.....

Kwa Tanzania kundi ambalo limeathirika pa kubwa na maambukizi ya h.i.v ni kundi linalojihusisha na mapenzi ya jinsia moja inaweza kuwa 75%... Kundi hili linaumwa,
Wazazi pamoja na mafundisho yenu kwa watoto wa kiume na dua sala na maombi kwa watoto wenu pia jitahidini,
Kutoka mataifa ya magharibi mambo haya wana yapush kwa nguvu sana yaenee kwa wingi duniani,
Vita hii si ya wazanzibari au watu wa pwani pekee ni yetu sote,
Hivi mnamwelewa Papa Francis na matamko yake dhidi ya mambo haya ya mapenzi ya jinsia moja?
 
Vijana wawili ambao walikuwa wameshikiliwa kwenye kituo cha polisi mjini Unguja wamedaiwa kujitenga na wenzao ndani ya mahabusu hiyo na kujificha kwenye kona kisha kuanza vitendo vya kulawitiana huku wenzao wakishuhudia kwenye mahabusu hiyo.

Mwananchi
Faiza Foxy,
Je, na hawa wanakaa Ubelgiji? Au nao wanatoka ktk makanisa yanayohubiri Ushoga? Huu mchezo inaonekana ni wakawaida sana uko Zenj kwa jinsia zote.
 
Vijana wawili ambao walikuwa wameshikiliwa kwenye kituo cha polisi mjini Unguja wamedaiwa kujitenga na wenzao ndani ya mahabusu hiyo na kujificha kwenye kona kisha kuanza vitendo vya kulawitiana huku wenzao wakishuhudia kwenye mahabusu hiyo.
Mbuzi kafia kwa muuza 😉😉😉
 
Nawasi wasi na Wanaume wa zenji,wenzao wanakazana wao wanaangalia tu,kwann wasiwape mabanzi wakafirane mbele hukoo???
 
Back
Top Bottom