Ukweli ni kuwa hafanyi vizuriwatu kusema Rais hafanyi vizuri
basi kama raisi hajui lakufanya hadi apitie maoni hafai kuwa hapo kwa kitiKumekuwa na wimbi la baadhi ya watu kusema Rais hafanyi vizuri nk
Naomba nitoe fursa kwa watu kuwa huru kutaja mambo matano ambayo Raisi angeyafanya ungeona kabisa huyo ndio chaguo lako; Pengine utaje na mambo matano ambayo ungetamani Rais ayafanyie kazi (tumia lugha ya staha tafadhali/ bila matusi) Mimi pia nitachangia mbeleni....
X zote atazipata xnxxNingependa kwanza atafute thaman ya X alafu atuambie hii X ni ya Blazzer au P Hurb
View attachment 3339564
Xn wamefungia mkuuX zote atazipata xnxx
Nani kafungia?? Ipo mkuuXn wamefungia mkuu
ππππXn+2n -nΒ²
Mimi namwonea huruma tuTatizo watu wengi wapo tu kama washabiki wa mpira, analalamika mtaani ILA ukimuuliza nini anatamani afanyiwe, hajui?
Yeye mwenyewe anatamani MAGU afufukeMi namshauri tu sio kila kitu ni cha kujibu, kibongobongo raisi akirusha dongo mahali fulani madhara yake huwa makubwa na wasaidizi wake wengi hutafsiri ndivyo sivyo maagizo yake/vijembe vyake.
Bila shaka sasa huko mipakani hali si hali, lazima usumbufu utakua mkubwa sana.Yeye mwenyewe anatamani MAGU afufuke
1Akae Dodoma kama walivyosema ndio makao makuu.Kumekuwa na wimbi la baadhi ya watu kusema Rais hafanyi vizuri nk
Naomba nitoe fursa kwa watu kuwa huru kutaja mambo matano ambayo Raisi angeyafanya ungeona kabisa huyo ndio chaguo lako: Pengine utaje na mambo matano ambayo ungetamani Rais ayafanyie kazi (tumia lugha ya staha tafadhali/ bila matusi) Mimi pia nitachangia mbeleni..
Tatizo watu wengi wapo tu kama washabiki wa mpira, analalamika mtaani ILA ukimuuliza nini anatamani afanyiwe, hajui?
Pendekezo la maana ni kuachia ngazi tu.Hita pata jibu lamaana humu. Ni watu kulalama na kuleta matatizo tu hakuna aina yoyote ya pendekezo lamaana watatoa.
Ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030 inazinduliwa May 30,2025.Kumekuwa na wimbi la baadhi ya watu kusema Rais hafanyi vizuri nk