Ungependa lako liweje ?

mtu unaweza ukatamani liwe zaidi ya hilo lakini usizikwe kama ndio umezama majini na mwili usionekane
 
Kuna dada mmoja alihudhuria mazishi ya rafiki yake ambayo yalikuwa na mbwembwe balaa basi yule dada akatamani.Alikuwa mwislam akabadili dini ili na yeye siku yake afanyiwe kama ya rafiki yake basi yule dada alipataga ajali akaharibika na madaktari wakashauri asiagwe kwanza alikuwa anatisha sana so hakuagwa kama alivyopania.Ukishakufa mie naona haipendezi kuwa na mambo mengi sana
 

Nothing is the number when you die kwakuwa huu mwili tunaouhudumia kwa gharama kubwa si lolote so chochote roho inapotengana nao! Mwili unakuwa ni kitu kisichofaa tena na huoza haraka
 
Nothing is the number when you die kwakuwa huu mwili tunaouhudumia kwa gharama kubwa si lolote so chochote roho inapotengana nao! Mwili unakuwa ni kitu kisichofaa tena na huoza haraka

Mbwembwe za kwenye mazishi ni kujifariji kutokana na hofu ya kifo. Haina tofauti na baba kumpa mwanae shikamoo wanapokutana gest house ana kwa ana akiwa na kimada
 

Kwa dizaini hiyo mbona wapo wengi ambao hutamani na tena upenda na siku hiyo hiyo toba astaghari
 

Duuuh hatari sana.....yan alipania kuagwa akiwa maiti!
 
Jeneza ni jeneza tu,haijalishi la gharama au chee,kinachohitaji ni marehemu azikwe kwa heshima!
 
ayaaaaaaaaaa, mwaka mopya huu na mambo haya kweli!!!!!!!!!!! siungi mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…