Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Mar 7, 2012 Thread starter #41 Lymphocytes said: kwanza nashusha presha kwa bia moja...then namwita,namwambia kaa chn...then lala chin nampa viboko v3 vya matakon...alafu namwambia cjakuchapa et umekosea bali kwa kunipresharyaz ila kaz nzur xna Click to expand... teh teh teh ana akili ila tatizo ndo hivo amekupa presha
Lymphocytes said: kwanza nashusha presha kwa bia moja...then namwita,namwambia kaa chn...then lala chin nampa viboko v3 vya matakon...alafu namwambia cjakuchapa et umekosea bali kwa kunipresharyaz ila kaz nzur xna Click to expand... teh teh teh ana akili ila tatizo ndo hivo amekupa presha
Eversmilin Gal JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 778 Reaction score 270 Mar 7, 2012 #42 presha hapo lazima mkuu mtoto ni creative mbaya hamna haja ya kumpiga
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Mar 7, 2012 Thread starter #43 Eversmilin Gal said: presha hapo lazima mkuu mtoto ni creative mbaya hamna haja ya kumpiga Click to expand... Itabidi umwambie we ni creative sana ila usitunge sana kupitiliza kiasi hicho mana nina presha
Eversmilin Gal said: presha hapo lazima mkuu mtoto ni creative mbaya hamna haja ya kumpiga Click to expand... Itabidi umwambie we ni creative sana ila usitunge sana kupitiliza kiasi hicho mana nina presha
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,252 Mar 7, 2012 #44 dah! Dogo noma. Hata mi nilishaanza kupagawa, ila kuna uongo mwingi. Ni lini kaenda kuishi na binti hadi ajue analala masaa 6? N.k, n.k
dah! Dogo noma. Hata mi nilishaanza kupagawa, ila kuna uongo mwingi. Ni lini kaenda kuishi na binti hadi ajue analala masaa 6? N.k, n.k
J JULIUS MBIAJI Member Joined Dec 13, 2011 Posts 76 Reaction score 11 Mar 8, 2012 #45 Nzuri sana hii.Ningemchapa kwa kosa la kunihatarishia maisha maana unaweza ukazimia.
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Mar 8, 2012 #46 Nitmpongeza, ila nitamwambia ibaki kwenye tungo tu wala asije kuifanyia kazi, hata wewe uliyeileta usijaribu babu, take care men
Nitmpongeza, ila nitamwambia ibaki kwenye tungo tu wala asije kuifanyia kazi, hata wewe uliyeileta usijaribu babu, take care men