Ungemfanyaje????????????

Mie mwenyewe nilikuwa natetemeka hapa kabla sijamaliza kusoma hio stori! Asilimia yote mkuu we mkali

mtoto anaweza kumwua mtu presha
 
Mpaka sasa hivi bado na hasira ingekuwa kweli sijui
 
Kwanza anakula bakora za kutosha hlf pongezi nyingi zinafuata kwa ukrieta wake
 
nikifanikiwa kumaliza bila kuzi100 nakikata stiki afu nakiamisha shule,kutiana presha tu huko aseee
 
kwanza nashusha presha kwa bia moja...then namwita,namwambia kaa chn...then lala chin nampa viboko v3 vya matakon...alafu namwambia cjakuchapa et umekosea bali kwa kunipresharyaz ila kaz nzur xna
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…