Abby-Sally
Member
- Dec 18, 2014
- 77
- 10
Kuna jamaa nilikuwa namuheshimu sana kama kaka,nilifahamiana nae toka 2009 huko Dodoma akitumikia moja ya Idara ya usalama nilishtushwa na haiba na muonekano wake,tuliendelea kuwasiliana na kumuomba ushauri ktk maswala mbalimbali hata ya jinsi kupata ajira nilianza kupata wasiwasi siku zilivyozidi kwenda kwa aina mawasiliano yake mf"vip wangu?I mic u sana Jana nilikuwa na wageni,na jion nikasahau kukutafuta" Nilipata hofu how come unamtumia mwanaume mwenzi msg kama hii? Nikampotezea kwa muda kidogo but leo from nowhere akanitext some of his sms
1."hee,ninahamu na wewe bhana ujee"
2."ndio,njoo bhana ulale,unakuja jion asubui unarudi kuendelea na mishe zako,njoo bhana upate raha kidogo"
3."We acha 2 kwel ukipata nafasi itumie,njoo upate Mambo ya pwani"
4."So,utakuja?"
5."ok.du so plz"
Nimesikitishwa sana kwa heshima niliyokuwa nampa mshkaji,nimekosa usingizi kuwaza juu ya haya ndugu zanguni jamaa Ana kazi nzuri kwani tatizo ni nini??Eee Mungu Tuepushie haya mabalaa na mapepo machafu sisi na vizazi vyetu!