Ungekuwa wewe ungefanyaje

Ungekuwa wewe ungefanyaje

aaahhhhh! wale wanakuwaga na viwanja vingi tu....
huyo kimada asubiri kidogo tu ataporomoshewa mjengo mwingine wa kisasa....
ila mimi ningekuwa ndo mke, masikio yangefunguka mara tatu.....
na kama bado nampenda huyo mume, ningemwambia arudi home nimemsamehe, huyo dada sasa angemsikia kwa jirani, maana ningejitolea kuwa dereva wake

umejuaje?baada ya hapo baba alirudi mwenyewe kuomba msamaha,lakini mama akasema nimekusamehe toka niliposikia ndo maana ulipokuja nilikupokea kwa shangwe,baba akatulia lakini hana amani,unajua hawa wanaume wakifumaniwa wamezoea kuwa wanawake ni watu wa makelele sasa ukikaa kimya anawaza kama unataka ku-mwakyembe
 
ha haaa, hilo ndo linatakiwa.....
ila mama atoe karipio kali, kuwa ukirudia nakumwagia acid, lol!
huyo dada mbona ataanza kulipa pango la nyumba mwenyewe!
 
ha haaa, hilo ndo linatakiwa.....
ila mama atoe karipio kali, kuwa ukirudia nakumwagia acid, lol!
huyo dada mbona ataanza kulipa pango la nyumba mwenyewe!

baba saivi anaogopa,lakini mama kaajiri mtu wakum-monitor mumewe mpaka pale atakapo jiridhisha kuwa jamaa katulia.
 
Wanawake wachache sana wenye akili kama hizi, nampa big up
 
Hahahaaa... Nimeipenda hiii... Mama mwenye mume we noumerr!!! kilichobaki ni kwa wale wanao nunuliwa magari.
 
baba saivi anaogopa,lakini mama kaajiri mtu wakum-monitor mumewe mpaka pale atakapo jiridhisha kuwa jamaa katulia.
mtaka yote, hukosa yote, lol!
kama namwona huyo bi dada anavyochekwa na wenzie mtaani......
kama nyodo za kwa mafundi ndo aliwawekea na wapangaji wenzie mbona kazi anayo?
hata kama kahama mji, watamfwata huko huko na mkodombwe....
ha haaa, wanasemaga mume wa mtu maziwa, ndo haya?
 
Huyo Mbaba Bonge la Muungwana, kwanza kufanya kwa siri kiasi hicho!??!
Lakini unashuka unampa za uso kwanza huyo mmama mpaka anatengeneza mabonde na milima usoni!
alafu unamwamishia kota ya mfanyakazi!
 
Huyo Mbaba Bonge la Muungwana, kwanza kufanya kwa siri kiasi hicho!??!
Lakini unashuka unampa za uso kwanza huyo mmama mpaka anatengeneza mabonde na milima usoni!
alafu unamwamishia kota ya mfanyakazi!

U serious about that????
 
Fundisho sana kwa akina mama, action nyingine siyo mpaka upige kelele. Kwenda kimyakimya nako kuna majibu mazuri.
 
Nitafanya hivyo hivyo kama huyo mama, cha muhimu kupata taarifa...
 
Huyo mama hayuko juu kwa lolote; kilichomsaidia ni mdomo mchafu wa mke mwenzake ulotumika kuwatukana mafundi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom