Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Hakufai huyo dada,tafuta mwanamke mwingine ndugu yangu
 
Hakufai huyo huna haja ya kurudiana nae na wala usiendelee kumentertain
 
Nilikuwa na mpenzi toka mwaka 2006 nimeishi nae nikiwa chuo na bahati nzuuri tukapata mtoto lakini si bahati akafa baada ya miezi michache!, nilibahatika siku moja kwenda mkoani kusalimia wakti wa likizo. Nikiwa home kama familia ya one parent tukawa tunajadili mambo ya kuoa, mimi kwa upande wangu nilikuwa simba mwenda pole na home walikuwa hawajawahi kuniona na demu, kwa hiyo siku hiyo nikabanwa kusema kuna nini ndo kusema kuhusu mausiano hayo, mamangu alisikitika sana na akaomba kusalimiana na mpenzi wangu nikampa namba wakaongea sana na ki ukweli mzazi wangu akatokea kumpenda walivyokuwa wanaoongea kwenye simu kwa muda wote niliyokuwa mkoa... nilivyo rudi dar baada ya siku kadhaa mzazi wangu akaniuliza..kama mwenzangu mzima maana ana siku nyingi hawajaongea na akimtafuta hampati, nikampa taarifa mpenz wangu... mzazi wangu baadae akaumwa sana na hata akiwa kitandan aliniambia nimsalimie mpenz wangu nikamuuliza kwani hawawasiliani akaniambia toka nimetoka mkoa hajawahi kumpata na mpenz wangu hajawai kumpigia simu..kwa kweli jambo hili liliniuzi sana, nikamwambia mzazi wangu huyu mtu HANIFAI na sina mpango nae tena na hivyo HASIMTAFUTE TENA! Mungu alimpenda mzazi wangu akamchukua...mpenz wangu hakuwa hewan nikamwambia mdogo wake kuwa nimepata msiba wa mzazi wangu!.... baada ya miwezi kadhaa kupita ndo mpenz wangu ananiuliza ..eti mama afarikije? nilikasirika sana na swali hili maana hata kunipa pole tu HAKUNIPA hali anajua nilifiwa! kuheshimu ahadi yangu kwa mamangu nikamuita mpenz wangu nikamwambia MIMI NA yeYE BASI! na kuachana nae si kwa sababu hiyo tuu, huyu mtu amekuwa akifanya mambo yako kunyume kabisa na tunavyokubaliana , na kila tukianza mazumgumzo ya maisha ya baadae anakwepa, ndugu marafiki zangu alikuwa hatki kukutana nao, ila kusalimiana kwenye simu ndo anakubali, anaweza hasipatikane wiki nzima, nimekuwa nikimpigia simu kwa mara moja moja, ila kila nikimpigia ananitumia sms ...nimsamehe anajua amekosa, eti na yeye ana mambo mazuri alinifanyia hivyo turudiane...na mambo mengine kibaoo! JAMAN katika mazingira haya maamuzi yangu ni kinyume kweli?
natanguliza shukrani zangu!

Maelezo mazuri lakini ungeyaweka katika aya basi yasomeke kwa raha. Je maelezo hayo hukuingiza hisia zako kwa kutueleza udhaifu wa mwenzako na kuficha wa kwako. kama hakuna hisia kwatika maelezo yako. Piga chini fasta.

Bazazi!
 
Maelezo mazuri lakini ungeyaweka katika aya basi yasomeke kwa raha. Je maelezo hayo hukuingiza hisia zako kwa kutueleza udhaifu wa mwenzako na kuficha wa kwako. kama hakuna hisia kwatika maelezo yako. Piga chini fasta.

Bazazi!

Bazazi kweli binadamu tuna makosa, kwangu nahisi kumkosea kwa kumbwaga baada ya kumtumia kwa miaka mitatu ila kumkosea uongo mbaya sijawahi kumfanyia voluntary makosa kumuhumiza labda kutafuta mpango wa kando jambo ambalo hakuwai kushtukia mpaka navunja uhusiano nae!
 
Bazazi kweli binadamu tuna makosa, kwangu nahisi kumkosea kwa kumbwaga baada ya kumtumia kwa miaka mitatu ila kumkosea uongo mbaya sijawahi kumfanyia voluntary makosa kumuhumiza labda kutafuta mpango wa kando jambo ambalo hakuwai kushtukia mpaka navunja uhusiano nae!

Huna haja ya kukasirika analipa kisasi tu. Kama unahisi anakufaa, acha mambo yote ya nyuma na uanze upya kama vile ndio wewe uliyembikiri.


Bazazi!
 
Hakufai huyo huna haja ya kurudiana nae na wala usiendelee kumentertain

nilidhan ndo utu kwa mtu uliekaa nae kwa muda mrefu, lakin ndo hivyo hataki kuelewa ukweli wa sasa! kweli nisimentertain nadhan anachukulia kuwa naweza au nina mpango wa kurudi! thanks...
 
Back
Top Bottom