Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Kama n mimi hcho kichwa nitakacho mrukia hpo lazima akojoe dagaa
 
natunisha mashavu. nakunja mdomo kama nungunungu namrukia shingoi roba kali . nahakikisha hapumui.
Labda ungekuwa na umbo na maguvu kama mimi, ndiyo hata simba mwenyewe atasita kukurukia, maana naye atahofia maisha yake.
 
hapo najua kwa mtu muoga roho inaondoka yenyewe mambo mengine baadae
 
unatubu dhambi fasta,kisha unamfunika na ema unawai bunduku fasta,kitaeleweka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…