Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Ungekuwa wewe ungefanyaje?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Kuna mwanamke wa Uganda nilitokea kumpenda sana kazini kwetu, na kwa bahati nzuri nikampa ukweli wangu lakini maskini ya Mungu akanipotezea. Nilijaribu njia nyingi kumfanya anipende lakini alikataa kabisa

Ila akatokea kumpenda Mhispania fulani hivi ambaye tunafanya naye kazi hapo kazini. Nikaona siyo kesi acha ni potezee tu, labda siyo riziki.

Sasa leo tulikuwa kwenye mapumziko, nilikuwa nimeweka 'headphones' masikioni kwangu, lakini nilikuwa sisikii mziki, wao wakafikiri mimi nasikiliza muziki. Nikaskia huyo mwanamke akawa anamwambia huyo mwenzake kuwa mimi nina tabia za kishamba sana.

Aliongea maneno mengi ya kunidharaulisha kwa huyo mpenzi wake. Nilivyokwenda kumwambia ukweli, ananijibu jeuri kuwa sina cha kumfanya!

Ungekuwa wewe ungefanyaje?
 
Kuna demu wa kiuganda nilitokea kumpenda saana kazini kwetu
Na kwa bahati nzuri nikampa ukweli wangu lakini maskini ya Mungu akanipotezea
Nilijaribu njia nyingi kumfanya anipende lakini alikataa kabisa

Ila akatokea kumpenda mspanish fulani hivi ambaye tunafanya naye kazi apo kazini
Nikaona sio case acha ni potezee tu labda sio riziki

Sasa leo nipo tulikuwa kwenye mapumziko

Nilikuwa nimeweka ediphoni masikioni kwangu lakini nilikuwa sisikii mziki
Wao wakafikiri mimi na sikiliza music
Nikaskia huyo demu akawa anamwambia huyo msenge mwenzake kuwa mimi nina tabia za kishamba saana
Aliongea maneno mengi ya kunizaraulisha
Kwa huyo boyfriend wake

Nilivyo kwenda kumwambia ukweli
Ana nijibu jeuri kuwa sina cha kumfanya

Angekuwa wewe ungefanyaje?
Achana naye we chapa kazi tu. Fainali uzeeni
 
"Kuna demu wa kiuganda nilitokea kumpenda saana kazini kwetu

Nilijaribu njia nyingi kumfanya anipende lakini alikataa kabisa" jifunze ku balance shobo mq.un..d wewe(sorry)
 
Sasa baba hapo unataka umfanye nn??

We palepale alipomaliza kuongea ungemwambia tu sio kumfuata pembeni, ataona umechukulia advantage hilo swala kumuweka kati akubali

Pole sana mkuu
 
Kuna demu wa kiuganda nilitokea kumpenda saana kazini kwetu
Na kwa bahati nzuri nikampa ukweli wangu lakini maskini ya Mungu akanipotezea
Nilijaribu njia nyingi kumfanya anipende lakini alikataa kabisa

Ila akatokea kumpenda mspanish fulani hivi ambaye tunafanya naye kazi apo kazini
Nikaona sio case acha ni potezee tu labda sio riziki

Sasa leo nipo tulikuwa kwenye mapumziko

Nilikuwa nimeweka ediphoni masikioni kwangu lakini nilikuwa sisikii mziki
Wao wakafikiri mimi na sikiliza music
Nikaskia huyo demu akawa anamwambia huyo msenge mwenzake kuwa mimi nina tabia za kishamba saana
Aliongea maneno mengi ya kunizaraulisha
Kwa huyo boyfriend wake

Nilivyo kwenda kumwambia ukweli
Ana nijibu jeuri kuwa sina cha kumfanya

Angekuwa wewe ungefanyaje?
tulia endelea na mitikasi yako Wewe Ni bora sana kwa ajili yako binafsi
 
Achana naye huyo binti, fanya kilichokupeleka hapo, Huyo mwingine umemtukana sababu gani? Alikuwa anakusema naye? Au ndo tabia za kishamba unazo? Kosa lake nn?
 
Kuna demu wa kiuganda nilitokea kumpenda saana kazini kwetu
Na kwa bahati nzuri nikampa ukweli wangu lakini maskini ya Mungu akanipotezea
Nilijaribu njia nyingi kumfanya anipende lakini alikataa kabisa

Ila akatokea kumpenda mspanish fulani hivi ambaye tunafanya naye kazi apo kazini
Nikaona sio case acha ni potezee tu labda sio riziki

Sasa leo nipo tulikuwa kwenye mapumziko

Nilikuwa nimeweka ediphoni masikioni kwangu lakini nilikuwa sisikii mziki
Wao wakafikiri mimi na sikiliza music
Nikaskia huyo demu akawa anamwambia huyo msenge mwenzake kuwa mimi nina tabia za kishamba saana
Aliongea maneno mengi ya kunizaraulisha
Kwa huyo boyfriend wake

Nilivyo kwenda kumwambia ukweli
Ana nijibu jeuri kuwa sina cha kumfanya

Angekuwa wewe ungefanyaje?
Wewe unaenda kuvamia mtumbwi alafu unakuja kuomba huruma ya wananchi, kama ulijua ana msenge mwenzie ulimshobokea ili nini kama sio ushamba, unakuja kutupotezea muda na kujaza seva za watu
JamiiForums-130570699.jpg
 
Kuna watu sijui wa najikuta kina nani hapa dunianj
 
Kuna mwanamke wa Uganda nilitokea kumpenda sana kazini kwetu, na kwa bahati nzuri nikampa ukweli wangu lakini maskini ya Mungu akanipotezea. Nilijaribu njia nyingi kumfanya anipende lakini alikataa kabisa

Ila akatokea kumpenda Mhispania fulani hivi ambaye tunafanya naye kazi hapo kazini. Nikaona siyo kesi acha ni potezee tu, labda siyo riziki.

Sasa leo tulikuwa kwenye mapumziko, nilikuwa nimeweka 'headphones' masikioni kwangu, lakini nilikuwa sisikii mziki, wao wakafikiri mimi nasikiliza muziki. Nikaskia huyo mwanamke akawa anamwambia huyo mwenzake kuwa mimi nina tabia za kishamba sana.

Aliongea maneno mengi ya kunidharaulisha kwa huyo mpenzi wake. Nilivyokwenda kumwambia ukweli, ananijibu jeuri kuwa sina cha kumfanya!

Ungekuwa wewe ungefanyaje?
Cool down brother, silence is the best answer for fools, ukishindana na mwanamke wew ndio umeshindwa just let her be and keep ur standards.
 
Kuna mwanamke wa Uganda nilitokea kumpenda sana kazini kwetu, na kwa bahati nzuri nikampa ukweli wangu lakini maskini ya Mungu akanipotezea. Nilijaribu njia nyingi kumfanya anipende lakini alikataa kabisa

Ila akatokea kumpenda Mhispania fulani hivi ambaye tunafanya naye kazi hapo kazini. Nikaona siyo kesi acha ni potezee tu, labda siyo riziki.

Sasa leo tulikuwa kwenye mapumziko, nilikuwa nimeweka 'headphones' masikioni kwangu, lakini nilikuwa sisikii mziki, wao wakafikiri mimi nasikiliza muziki. Nikaskia huyo mwanamke akawa anamwambia huyo mwenzake kuwa mimi nina tabia za kishamba sana.

Aliongea maneno mengi ya kunidharaulisha kwa huyo mpenzi wake. Nilivyokwenda kumwambia ukweli, ananijibu jeuri kuwa sina cha kumfanya!

Ungekuwa wewe ungefanyaje?
Mkuu kwisha yaani unahangaika na huo ujinga ilihali ushatoka eneo la tukio ?

Embu kuwa mwanaume songa mbele achana na mambo ya kitoto rafiki.
 
"Kuna demu wa kiuganda nilitokea kumpenda saana kazini kwetu
Na kwa bahati nzuri nikampa ukweli wangu lakini maskini ya Mungu akanipotezea
Nilijaribu njia nyingi kumfanya anipende lakini alikataa kabisa" jifunze ku balance shobo mq.un..d wewe(sorry)
Mnge.se huyu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom