Ungekuwa wewe Ungefanyaje!?

Anahitaji kukutumia tu huyo bro, wengi hizo ndo excuse zao wanapojua wamepata mwanaume anayejali lengo kuwasaidia ktk matumizi yao, kikubwa usipanic mwambie subiri ajifungue mkacheki DNA kama ni wa kwako utamhudumia, lakini kwa sasa hapana uthibitisho wowote, mind u Jermaine Defoe alishawahi kuhudumia mtt, baada ya kujifungua ikaonesha si wake Yani shida kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…