Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,388
- 1,098
Aah!Unafikiri wanaume tuna choyo basi,wewe tu.It's okay... Ila next time jitahidi kukubali kitu ikiwa moyo wako umeridhia na sio kufanya tu ili umridhishe mtu ilihali unajua kabisa hauko comfortable
kumbe hata vidume tuna shahada za chupi!Wanajamvi habarini za miangaiko!
Bila kupoteza muda, mada iko hivi. Wakati niko chuoni actually kulingana na mishe zangu nilikuwa naingia kwenye vipindi vya jioni baada ya kazi.
Sasa kuna somo ambalo nilichelewa sana kuhudhuria vipindi vyake kama wiki tatu mfululizo ila siku yangu ya kwanza kuingia nilijitahidi kuwa mchangiaji kwenye discussions ili hata ikitokea nimekosa kuhudhuria siku nyingine mwalimu asinimind sana maana umachinga ulizidi.
Sasa kipindi kilichofuatia nilipata udhuru kikazi nikasafiri hivyo sikuhudhuria kipindi cha mwalimu huyu. Alikuwa dada mzuri na very smart upstairs kwa kweli.
Niliporudi darasani, wanafunzi wenzangu wote waliniambia nimchukue mwalimu mazima maana si kawaida alivyoniulizia. Sasa alipoingia yeye darasani hakuonyesha dalili yoyote ya kunishobokea ila baada ya pale tulipata likizo. Hapo ndo siku moja nashangaa mtu ananipigia akajitambulisha kuwa yeye ni mwalimu wangu na angependa twende movie kama sitojali.
Kwa kuwa nilishapata habari mapema nilikubali. Na siku hiyo ndo ilikuwa mwanzo wa safari ya mahusiano na mwalimu wangu.
Nikiri kwamba sikutaka kuwa na mahusiano naye ila nilipiga mahesabu ya madhara ya kutokukubali ombi lake hususani kwenye matokeo yangu ya mitihani niliogopa kufelishwa kwa kosa hilo.
Baada ya kumaliza chuo nilimpiga chini lakini
Vipi wewe Ungefanyaje?

Huyu kaamua kutuambia tu alivombulula mwalimu wake...unataka tukushauri au umetwambia tu?
Najua nyie sio wachoyoAah!Unafikiri wanaume tuna choyo basi,wewe tu.
Kama alikuwa nakila sifa njema yawezekana angekuwa mke mwema sasa kwanini usingemuoa kabisa naakawa furaha yamoyo wako?Yeah ila niliangalia mazingira na usalama wangu wa elimu. Pia nilikuja kumpenda ile mbaya kwa sifa zake na nina historia ambayo haifutiki kwake. Alikuwa na kila sifa ya kuitwa mke mwema
Kwa maana umesema mwenyewe kuwa ulimkubali kwa kuhofia kufelishwa!!!
Huyu jamaa kapiga fyongoKama alikuwa nakila sifa njema yawezekana angekuwa mke mwema sasa kwanini usingemuoa kabisa naakawa furaha yamoyo wako?
sasa mbona ulimpiga chini kama sifa zote anazoYeah ila niliangalia mazingira na usalama wangu wa elimu. Pia nilikuja kumpenda ile mbaya kwa sifa zake na nina historia ambayo haifutiki kwake. Alikuwa na kila sifa ya kuitwa mke mwema