Ungekuwa mimi, ungefanyaje?

Ungekuwa mimi, ungefanyaje?

Alipajuaje gheto kwako mpaka aingie rum moja kwa moja?? Najua pisi kama hizo lazima ukaipokee huwezi kumwalekeza kuanzia mtaa, hadi nyumba mpaka chumba chako ikiwa ndio mara yake ya kwanza kuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni chai kabisa.....tena iliyo zidi majani
 
Tafuteni hela sana wazee, huku tunachukua namba kwa muhusika
 
Back
Top Bottom