ungekua wewe ungemfikiriaje girlfriend wako

oldd vampire

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
253
52
wana jf mimi na girlfrnd wangu tuna miaka mi tatu sasa,na katika mtandao fulani wa kijamii amekua akilitumia jina langu miaka mi tatu,hapo juzi ananiambia anataka badili jina aweke her real name,mi nimebaki na maswali mengi kichwan,yeye anasema hana sababu maalum ila ametaka tuu jina lake liwe pale,ila relationship status kasema anaiacha kama ilivo,nisaidieni maana nimekua na mawazo mengi,maybe nam judge wrong,ungekua ww ungefkiriaje?
 
Usijali hapo hakuna cha ajabu! We muamini tu! Hata hivyo sioni sababu ya yeye kuto tumia jina lake.

Wala usi mtilie wasiwasi kwani dunia haina siri.
 
Ningekua mimi ningemuacha afanye anavyotaka, sababu sijafunga nae ndoa na vile vile ni mtu mzima na shughuli zake.
 
anataka na yeye asimame kama yeye bila kuzungukwa na kiwingu chochote... then she can do whatever damn thing she wants to do and get real feedback from real people (read 'real men') who admire her
 
wana jf mimi na girlfrnd wangu tuna miaka mi tatu sasa,na katika mtandao fulani wa kijamii amekua akilitumia jina langu miaka mi tatu,hapo juzi ananiambia anataka badili jina aweke her real name,mi nimebaki na maswali mengi kichwan,yeye anasema hana sababu maalum ila ametaka tuu jina lake liwe pale,ila relationship status kasema anaiacha kama ilivo,nisaidieni maana nimekua na mawazo mengi,maybe nam judge wrong,ungekua ww ungefkiriaje?

Sioni tatizo mkuu.
Ina maana siku zote hizo alikuwa anatumia jina lako la kiume wakati yeye ni msichana? Isije kuwa vimwana wameanza kumshobokea wakifikiri ni kaka! (a joke!)
 
Usijali hapo hakuna cha ajabu! We muamini tu! Hata hivyo sioni sababu ya yeye kuto tumia jina lake.

Wala usi mtilie wasiwasi kwani dunia haina siri.

Leo ruta kapata wapi hizi busara na hekma kiasi hiki...........kweli siku hazifanani
 
Sioni tatizo mkuu.
Ina maana siku zote hizo alikuwa anatumia jina lako la kiume wakati yeye ni msichana? Isije kuwa vimwana wameanza kumshobokea wakifikiri ni kaka! (a joke!)

Japo umesema unajoke..but inashangaza mtoto wa kike kutumia jina la kiume?..
back to ze topic..please muache huru na jina alilopewa na wazazi wake..
Kama ni uaminifu haupimwi na hilo..
 
yaani anatumia jina lake la kwanza na majina mawili ya mbele ni yangu,poa nimewaelewa wakuu
 
kwan ww unatumia jina lake? kama hautumii jina lake tatizo liko wapi.
 
Usiwe na wasiwasi kaka, utakapomuoa atatumia hayo majina yako ki halali kabisaaa.. Kwa sasa muache atumie jina lake..
 
wana jf mimi na girlfrnd wangu tuna miaka mi tatu sasa,na katika mtandao fulani wa kijamii amekua akilitumia jina langu miaka mi tatu,hapo juzi ananiambia anataka badili jina aweke her real name,mi nimebaki na maswali mengi kichwan,yeye anasema hana sababu maalum ila ametaka tuu jina lake liwe pale,ila relationship status kasema anaiacha kama ilivo,nisaidieni maana nimekua na mawazo mengi,maybe nam judge wrong,ungekua ww ungefkiriaje?

tehtehe mapenzi ya facebook yana mambo saahizi hili jambo linakuumiza kichwa sana yaani ... i know da feelings dude have been there now aim enjoying stress free life "single" ... hehehe! young love , full of hope, full of promise. Ignorant of reality ..

dalili za mvua man ...! taratibu anakukimbia huyo... stuka!
 
sasa mkuu miaka mitatu yote unasubiri nini? si umuoe tu? kama vipi muache afanye atakavyo. kwa taarifa yako huu ndo mwanzo ukikubali hili atakuja na lingine kubwa zaidi. vuta kitu mkuu. Mia
 
mmh dah kaka angalia aise usije ukali achana nae huyo atakuja kukupa ugonjwa wa moyo huyo!!
 
Wajanja weshachombeza na ma bling bling yaoooo teh teh teh ethe hhahahahaha.....
 
FAcebook n ugonjwa watu wote waongo pale ukijaribu kudate Facebook unatafuta.ugonjwa wa moyo
 
Back
Top Bottom