Ungekua wewe ungefanyaje

Hizo ni hasira za kusikia wenzao huku Tan~sania wanauwawa kinyama.
 
ningedeal na meno yake walau nipate hela nikanunue landcruiser ili siku nyingne nisipate usumbufu ka huo....
 
Hivi pale mikumi ingekuwajje juzi mepita pale nikaona kundi kubwa la twiga wakivuka ilibidi nisimame kwa muda nao wakahisi hiki sio kiumbe cha kawaida kumbe nao wanyama wanatambua magari, mbele kidogo tembo nao wakijiandaa kuvuka aah hao sikusubiri ilibiidi gia namba 5 itafutwe fasta na kusepa wale wakipiga kigelegele chao ukizubaa unageuka nyasi fasta na kigari chako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…