The Only Kilo
JF-Expert Member
- Jul 16, 2010
- 352
- 87
Tamaaa imekaa kifuani mwangu kama ushanga wa gold na diamond! Kila mwanamke alie mzuri na msafi wa mwili kwangu namtamani na mara nyingi nafanya majaribio ya kutongoza na pia mafanikio ya mwanzo yanaonekana. Kwa kweli kwa asilimia kubwa sasa moyo umetawaliwa na tamaa kliko ambavyo mwanadamu hutamani kwa tamaa halisia za utu ulio kamilika..... Maombi yangu wka Mungu wangu aliye juu mbinguni na hapa chini duniani unsamehe ee Bwana maana nami ni mzinzi kama wazinifu wengine ni malaya kama wengine ni muhuni kama wahuni wengine! Baba niepushe na haya maisha yamenishika shingoni kama mafahali wafungwavyo nira ee Mwnyenzi Mungu. Kwa uweza wa Yesu Kristo naomba nikiamini mimi mwenye dhambi nimesahemewa na aliyeniweka hapa nilipo ataendelea knilnda na mkono wa ibilis. Amen