Unga wa mahindi

Unga wa mahindi

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
158
Habari zenu wanajamvi?
Naomba kuuliza:
(1)Tani moja ya mahindi inatoa kilo ngapi za unga wa sembe? Yaani unga kilo ngapi na pumba kilo ngapi? Au kwa lugha nyingine kilo moja ya mahindi inatoa unga wa sembe asilimia ngapi ya kilo nzima?
(2)Bei ya viroba (kutengeneza na kuweka nembo) ni sh. ngapi kwa viroba vya kilo 5, 10, 20 na 25?
(3)Mashine ya kufunga viroba inauzwa bei gani?
 
haikupata jibu hii mada? nna hamu na majibu yake!
 
Habari zenu wanajamvi?
Naomba kuuliza:
(1)Tani moja ya mahindi inatoa kilo ngapi za unga wa sembe? Yaani unga kilo ngapi na pumba kilo ngapi? Au kwa lugha nyingine kilo moja ya mahindi inatoa unga wa sembe asilimia ngapi ya kilo nzima?
(2)Bei ya viroba (kutengeneza na kuweka nembo) ni sh. ngapi kwa viroba vya kilo 5, 10, 20 na 25?
(3)Mashine ya kufunga viroba inauzwa bei gani?

Hiki ni kilimo kwanza subiri mabwana na mabibi shamba waje
 
Back
Top Bottom