Unga wa Gypsum wa kutengenezea chaki

Unga wa Gypsum wa kutengenezea chaki

hireme

New Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
2
Reaction score
2
Sio kila Gypsum inafaa kwa kutengenezea chaki sisi ni wauzaji wa Unga special kwa shuhuli ya kutengenezea chaki na mikanda ya gypsum tunauwezo wa kukuletea mpaka mlangoni kiasi chochote unacho kihitaji ila iwe kwa jumla.

Mfuko wa kilo 50 tunauza kwa shilingi 25,000 bila garama yeyote ya usafiri, kiwanda kipo Manyoni Singida

mfuko_kiwanda.png
 
Kwema mkuu.
Hajawa na mawakala au wauzaji wa jumla bado?.
Nipo Arusha nauhitaji kwa kutengenezea chaki
 
Na kwa uzoefu wako,huo mfuko unaweza ukatoa box kubwa ngapi za chaki?
 
Sio kila Gypsum inafaa kwa kutengenezea chaki sisi ni wauzaji wa Unga special kwa shuhuli ya kutengenezea chaki na mikanda ya gypsum tunauwezo wa kukuletea mpaka mlangoni kiasi chochote unacho kihitaji ila iwe kwa jumla.

Mfuko wa kilo 50 tunauza kwa shilingi 25,000 bila garama yeyote ya usafiri, kiwanda kipo Manyoni Singida

View attachment 1070092
Naomba Namba tufanye biashara basi
 
Back
Top Bottom