K Kilemachocho JF-Expert Member Joined Feb 19, 2016 Posts 560 Reaction score 366 Feb 27, 2016 #1 Habari zenu wana jamvi msg hiyo hapo juu imekuwa ikitokea mara kwa mara kwenye simu yangu naombeni ambaye anauwezo wa kunielekeza namna ya kuitoa anielekeze natanguliza shukrani.
Habari zenu wana jamvi msg hiyo hapo juu imekuwa ikitokea mara kwa mara kwenye simu yangu naombeni ambaye anauwezo wa kunielekeza namna ya kuitoa anielekeze natanguliza shukrani.
Konda wa bodaboda JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,981 Reaction score 4,174 Feb 27, 2016 #2 Ni kawaida ya tecno hiyo, angalia program ambazo huzitumii uzifute halafu uzifanyie update zile unazotumia.
Ni kawaida ya tecno hiyo, angalia program ambazo huzitumii uzifute halafu uzifanyie update zile unazotumia.