Unfortunately,setting has stopped galaxy note 3

Sangoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
344
Reaction score
165
Wakubwa habari za majukumu,simu yangu imekumbwa na tatizo ikiwa ni baada ya kuupdate android version kutoka 4.4.2 kuwa 5.0 kwa kutumia odin kila nikiingia setting kwa lengo la kufanya setting kwenye kwenye mobile network nikiingia access point names inaandika Unfortunately,settings has stopped.nimesha clear sana data kwenye application manager nimesha reset kawaida sana lakini tatizo bado lipo vilevile nimesha hardreset lakini bado picha ni kama hivi
 
nimesha clear cache sana bro tatizo bado lipo
 
Nimejari kudowload apps lakini sikupata nikaamua kupiga simu mtandao husikia wakanitumia sms ya setting nikainstall kama hivi
 

Attachments

  • 1439380052498.jpg
    30.2 KB · Views: 88
nimeinstall imekubali iko poa kabisa bro shukrani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…