Diamond followers wanapuputika huko, awe mfano.Humu jf niliwa-ignore chawa wote naona kumezuka account mpya cha chawa nitafanyia kazi Instagram nili-unfollow chawa wote. Napenda content za dotto magari ila nikasema isiwe tabu nika-unfollow tu! Sasa nikifungua Instagram au jamii forums zaidi ya 30% ni content safi kabisa.
Unafollow kw kutoa tu support, ila kumbe unakuta unatoa saport kw viazi.Mlikua hamna akili kuwafollow in the first place.
KAMPENI YA KUOGOFYA KWA SAMIA NA WAHUNI WENZIE NI KUTANGAZA VITA NA WAZANZIBAR WOTE TANZANIA BARA ...HII KETE IKISUKUMWA NAWAAKIKISHIA KESHO TU SAMIA ANANYOSHA MIKONO .....WAZANZIBAR KWA SASA NI MAADUI KAMILI WA WATANGANYIKAView attachment 3497516
Msisahau kureport kabla ya ku unfollow.
Na msiwape engagement yoyote hao chawa. miziki na muvi zao watazisikiliza wenyewe.
hivi kwanza unaanzaje kuwafollow hao takataka?View attachment 3497516
Msisahau kureport kabla ya ku unfollow.
Na msiwape engagement yoyote hao chawa. miziki na muvi zao watazisikiliza wenyewe.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ni kajamaa fulani kachafu chafu kanapenda kuvaa vest za elfu mbili mbili. Kanaimba ila hakajui kuimba.Kontawa?? Huyu ni msanii/star wa nini?
Bila kumsahau Msando, aisee kale kajamaa pia ni kakusalimiwa.Bila kumsahau AY . Huyu nilimuonya mapema hakusikia . Tusihishie ku unfolow bali watangazwe rasmi kama maadui wa taifa hili .... yan mtu anapata umaarufu kwa ajiri ya zen G . Leo anawasaliti ?
Daaah dadekii 😂😂 wewe umemjuaje mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ni kajamaa fulani kachafu chafu kanapenda kuvaa vest za elfu mbili mbili. Kanaimba ila hakajui kuimba.