mwambie dogo ale maisha ,kumsamehe mtu aliyekusaliti inawezekana lakini kuendeleza mahusiano naye is like chasing a white elephant.Natumaini mwaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku..
Kuna ndugu yangu amesalitiwa na mpnz wake wake wa kike(girlfriend),ana uhakika 100% kwamba amesalitiwa na huyo gal wake kakubali. Huyo gal wake kamuomba msamaha na akasema kilichotokea ilikua bahati mbaya na anaomba 2nd chance waendelee kwenye malavidavi.Huyo ndugu yangu amemsamehe na anampenda sana lakini inamuwia ngumu sana kuendelea na huyo gal wake mana anaona hataweza kusahau kilichotokea in future na itamsumbua sana.
Mnamshaurije huyu ndugu yangu?
well said and clear Blaki woman....this is not health r/shp anymore....mwambie asiogope aachane naye ww.kasamehe lakini kashindwa kusahau....kwa hali hiyo ugomvi hautakwisha kwenye mahusiano bora amwache
hili nalo neno royna ,ila kulitimiza ni ngumu km ilivyokuwa ngumu kutii maandiko.mimi nashauri moyo wake unachomtuma kufanya,maana hata kama sisi tukimshauri kiasi gani mwisho wa siku yeye ndo ataishi na huyo mwenza. ila pia ukikubali kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa, ujue mwenzio au alishaanza au atakuchakachua.mimi nashauri vijana msubiri mkioa na kuolewa ndo muanze mambo a kikubwa.
Kwanza hajui kusamehe maana yake nini!Kusamehe kuna maana ya KUSAMEHE NA KUSAHAU!Kama hujasahau hujasamehe.Pia kingine nadhani hayuko tayari kusamehe kwani anaamini mtu aliyetoka nje ya mahusiano hawezi kubadilika!
Mwambie dogo kuna wanawake wengi tu duniani-alicho nacho huyo na wengine wanacho....Huyo gf wake-anomba 2nd chance kwani anagombea uraisi america au>