Hapa sina la kusema kwani makuzi ya mwanadamu yanaongozwa na tezi fulani naikumbuka ni pituitary gland kama sijakosea biology nimesoma zamani, hii ikifanya tofauti mtu anaweza kuwa na miaka 8 ukamuona kama ni wa miaka 32, si jambo la kubeza japokuwa chakula bila mpango na namna za maisha (life style) na magonjwa vinaweza kuchangia.