Unene huu mwenzenu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unene huu mwenzenu...

Discussion in 'JF Doctor' started by ngoshwe, Jan 16, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Unene huu, nimepiga mazoezi ya kutosha muda mrefu haupungui, nimefuata diet ndio kwanza unaongezeka ..nataka upungue fasta inashindikana...unene huu mzigo kama kuna ushauri wa kuupunguza fasta nimwagieni hapa, Mamsapu analalamika, unamsumbua, sibebeki!!  [​IMG]
   
 2. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tumia hudia.
   
 3. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Acha kazi.
   
 4. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nani kakwambia ukiacha kazi unapungua?
   
 5. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ndio nini hiyo
  OTIS
   
 6. OPTIMISTIC

  OPTIMISTIC Senior Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa spidi hiyo ninayo iona usiwe na wasiwasi utapungua tu sibulia kisukari kwanza.
   
 7. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi pia ni kibonge sana nina kilo 77..ila nilianza mazoezi kama wiki imepita hivi hua naamka asubuhi kama saa kumi na moja nakimbia kuzunguka uwanja wa mpira mara sita..na mazoezi madogo mengine..after that nachemsha maji ya moto kama lita moja naweka na limao mbili,,pia nimepunguza kula and i see changes
   
 8. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kwa kula hivo atapungukaje?
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  change your lifestyle, kama unafanya diet and then unapiga maji haujafanya kitu. Diet isiwe ya siku mbili bali change your eating routing, watch out for fatty food you need to cut them down. I managed to shed 20 kg in six months, with exercise, incorporate weight lifting also.

  Lastly check mnayo genetic ya unene kwenye family sometimes it does.
   
 10. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
Loading...