Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,659
- 58,997
Wadau nani anaweza na anayehusika kutoa data za watu wasio na ajira hapa Tanzania? Au nchi inaenda tu kienyeji enyeji bila kuwa na malengo kwa watu wake? Pampja na technology yote hii, na media zote na wizara zote tulizo nazo. Hadi wizara ya kazi ipo.
Na je wanatoa monthly au annually?
Nataka kujua trend.... Asanteni kwa kuja.
Na je wanatoa monthly au annually?
Nataka kujua trend.... Asanteni kwa kuja.