Undungu/urafiki wa wakati wa shida tu

Undungu/urafiki wa wakati wa shida tu

Madoido

Senior Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
134
Reaction score
15
jf members hivi inakuwaje ndugu,marafiki ambao wanaonekana kwako na kwa unyenyekevu wa hali ya juu PINDI WANA SHIDA TU.SASA NAJIULIZA WAKATI WANAPESA ZAO INA MAANA WANAENDA KUENJOY NA WATU WAO WENGINE AU INAKUWEJE? USHAURI
 
Labda wanakuona we kama Zoba fulani hivi....Yaani pesa yako huna uchungu nayo!
 
Ukitaka kujua wanafiki na marafiki ulio nao ni pale unapokuwa wewe mwenyewe una shida.Mfano mdogo ni pale unapougua au unapouguza.Moyo wa binadamu ni kichaka ndugu yangu.
 
Ndio maana wazungu wanaona aheri ya mbwa kuliko ndugu au marafiki,kwani mbwa hamukimbii mmiliki wake iwe ni wakati wa raha au shida ,wakati wote utamukuta chini ya miguu ya mmiliki.
Ukitaka kujua unafiki wa ndugu au marafiki utaujua ukiwa na uwezo ,kila mtu atakupenda na hata nyumbani kwako itakuwa hakukauki watu,sasa ngoma pale jahazi likiwa halijojo hata uliowaamini na waliokuwa karibu nao watakukimbia na kujifanya bize na utakufa na shida zako.Kitu muhimu ni kuwa katika maisha ya siku hizi jiangalie mwenyewe na wanao na mkeo au mumeo,mambo ya kaka ,dada,wifi,mjomba,watoto wa nani sijui.
Usipokuwa na kitu hata wazazi wanakuona zigo.
 
Halafu wanashangaza sana, wao pesa zao wanatumbua, halafu wanadhani za kwako umeweka ili wakiishiwa wapewe. Pumbafu sana hao
 
jf members hivi inakuwaje ndugu,marafiki ambao wanaonekana kwako na kwa unyenyekevu wa hali ya juu PINDI WANA SHIDA TU.SASA NAJIULIZA WAKATI WANAPESA ZAO INA MAANA WANAENDA KUENJOY NA WATU WAO WENGINE AU INAKUWEJE? USHAURI

hilo swali najiulizaga mpaka nachoka, wakati wana shida inakuwaje ndugu lawama tu.
 
yan uktaka jua rafk na adui zako pitia kipind kigumu utastaajabu.af ngoja urud kwenye raha utaduwaa kbsa uwii
 
Back
Top Bottom