Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
- Thread starter
- #21
Kwa mara ya kwanza hiki kiinglish cha leo nimekielewa........
Nimeishia no 18 nitakuja kumalizia
Hahaha. Ukimaliza useme. Kuna maswali.
Kwa mara ya kwanza hiki kiinglish cha leo nimekielewa........
Nimeishia no 18 nitakuja kumalizia
Girls..Anaefikia hata nusu ya hizo sifa embu ajitokeze
Kila ulichokisema Ni kweli ndugu.. Hii Ni pure me....
If it takes that all to be 21st century women... then we stil in 18th century!!! wadada wa kibongo bado hawajakizi hivyo vigezo lol....
Shaka ondoa mm n she,kwa kukurizisha tu naanza na no.2..Mhhhh!!..mkuu naomba tufahamiane ili nijiridhishe kama kweli
Kila ulichokisema Ni kweli ndugu.. Hii Ni pure me....
Shaka ondoa mm n she,kwa kukurizisha tu naanza na no.2..
It takes a 21st century man to see that kind of lady. You may be the one living in the 18th Century .
Hahaha. Ukimaliza useme. Kuna maswali.
Kila ulichokisema Ni kweli ndugu.. Hii Ni pure me....
If it takes that all to be 21st century women... then we stil in 18th century!!! wadada wa kibongo bado hawajakizi hivyo vigezo lol....
Mie mbona nimekizi haahahaha,miss yah
Hayo maswali yanaulizwa kwa lugha gani kwanza ili nijue kama nitamalizia au niingie mitini
Paulo Sergio De Souz kama vile unanisema mimi :A S shade: