underground water drilling

underground water drilling

mamaduke

Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
16
Reaction score
0
Heshima zenu wakuu.
Naulizia kama kuana anayejua uwezekano wa underground water drilling in Moshi. Je kuna kampuni au watu binafsi wanaotoa hii huduma? Je inacost kiasi gani.

Natanguliza shukrani:israel:
 
MILIONI TUWILI MPAKA TUTATU Upo Mosh Maeneo Gani kwani kuna Sehemu hapo moshi mpaka milioni Sita shauri kuna Mwamba maeneo ya Njia panda ,Himo, Uchira, Miwaleni, Kawawa road, ukipanda mpaka KCMC Uru, Rau,Pasua, ukienda Wilaya ya Hai sio zote sehemu mbaya, ukirudi huku kwetu mwanga kisangara haya maeneo niliokutajia magumu mno Sasa watakupiga tu nakushauri mtafute Mhandisi Max atakueleza vizuri na pia kampuni waweza chukua sehemu yoyote pale Tanzania bora ulipe tu pesa asante Mamaduke
 
Back
Top Bottom