nini maana ya underground? TAMADUNI MUSIC RECORDING LABEL chini ya DUKE ina wanamuziki wengi ambao underground ni wachache...... wapo maarufu kama ONE ALSO KNOWN AS MOKO WA MIUJIZA,SONGA THE ILLEST EMCEE,KAD GO,GHETTO AMBASADOR, ZAIID, STEREO( sina uhakika kama bado yupo lebo hii), NIKKI MBISHI NA wengineo...... hawa jamaa wanatoa burudani pia nyimbo zao ni funzo tosha kwa jamii na sio mapenzi mapenzi tu...... BILA KUMSAHAU NASH MC ALSO KNOWN AS MAALIM NASH