Under NACTE mbona hatuthaminiki

Jamani profile yangu inaonesha capacity zote ni zero na bado sijachaguliwa chuo chochote na hakuna option ya kureset choices nifanye nini jamani???
 
Habar wakuuu...kwenye profile yangu capacity ni zero then cjachaguliwa chuo chochote mpaka sasa mnanishaur nini jamani,mimi niliomba kupitia nacte ns nilikuwa na gpa nzuri tu!!
 
Habar wakuuu...kwenye profile yangu capacity ni zero then cjachaguliwa chuo chochote mpaka sasa mnanishaur nini jamani,mimi niliomba kupitia nacte ns nilikuwa na gpa nzuri tu!!

Hata mm pia, wew unayo ya ngp!?
 
Mkuu ninaona capacity ya my second choice na third choice zime reduce adi 0???hiyo inamaanisha nn?

ina maaanishaa the cloud sky doesnt always cry rain..........very sorrrrrrry buloo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…