Under NACTE mbona hatuthaminiki

NACTE nao bwana, yani utadhani application tulifanya bure, wanakera sio siri. Hizo post si mtoe tu!
 
Ata matokeoo tu ya ualimu shule za msingi na sekondari baado nakumbuka watu wanataka wajipange kulipa laki 6 wenyewe hawawazii kabisaa yaani,,,,,
 
Na kama NACTE umechaguliwa tayar ila jina hujaliona kwenye chuo husika inakuwaje?
 
Ata matokeoo tu ya ualimu shule za msingi na sekondari baado nakumbuka watu wanataka wajipange kulipa laki 6 wenyewe hawawazii kabisaa yaani,,,,,

Daah kaka ina maana hiyo laki6 ndio ada ya mafunzo kwa mwaka au na ni vyuo vya serikali tuu au hadi private
 
Hapa tunaongelea diploma za ualimu wa shule ya msingi na awali maana ndo nacte wametusahau ila walio selectiwa kwa mda huu kupitia nacte its only undegsaduate umenipata~ boyfriendy;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…