Safari njema mkuu.AGE:21 (birthday aug 27)
RELATIONSHIP :nimewahi kudate na girls wawili TU, but up2 now sijawahi KUGEGEDA (member wa CHAPUTA japo nina mpango kabambe wa kujivua uanachama)) ,sio kwamba sitaki papuche NO!,nikwamba sijapata,nilishafikiria hadi kuchukua madada poa ila no stafanya hivyo,niliodate nao wa1 hakua serious,wa2 marriage then sex nilimvumilia ila mmh not easy nilichoka,INFACT nw am single boy who need a true lover (wanasema wenye mapenzi ya kweli ndio huumizwa, its true yamenikuta )
MY LIFE: Engineer mtarajiwa ,inshort ndo naanza maisha ya kujitegemea
LOCATION: Mo-town
BIO; Am a Christian ,am a gentleman na nina mapenzi ya dhati 4sure japo sijapata serious girl to give her my heart
PM status 😱pen (you're welcome my sweetheart)
THAT IS MY BACKGROUND MIMI UNDER 23
SITAKI POVU
Thanks ma dogo ,hahahah.. 😱 nilishawahi kusema humu hizi ID znaukweli ndani yake wakakataa ona sasa kichwa kichafuSafari njema mkuu.
13yrs mdogo wako
Ila na michepuko 13 pia bro.
Sababu nyie KE mnamlia hela tu hamumpi mechiHadi 23 sijawahi kudate?
Nna matatizo gani labda?
Tukipenda hata bila pesa tunampa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aiseeh haya banah, hamna neno kabisa ngoja tupate fursa za under 23Jirani unajua nikiweka neno shikamoo katikati yetu mazungumzo yangu ya ile michepuko nitaogopa kusema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23]Thanks ma dogo ,hahahah.. 😱 nilishawahi kusema humu hizi ID znaukweli ndani yake wakakataa ona sasa kichwa kichafu
walibisha wanasema et kuna jamaa anajiita @mgegedaj alafu ni mtunza azina wa chaputa[emoji23]
Ndyo ninayowewe unayo??
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
[emoji15] [emoji15]Tupo sawa age mate [emoji23][emoji23]
wanamuamini mungu mpaka waoeWana matatizo
Wanaishije sasa?
NyoooooMie nina 20.
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Mnataka kutoana bikra au
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.