Hujui ulisemalo!
Zote, anasogeza tu manowari iliyo karibu. Anachapa huku us wananchi wakila bata. Nashangaa nchi huwa zadai zimemchapa mmarekani wakati kombora zao wenyewe zimegeuza miji yao kuwa magofu.wataalam wa mambo,hivi US anaweza kupigana na nchi ngapi kwa wwakati mmoja zenye uwezo kama wa North Korea au Iran?
Washabikieni tuu hao kina kiduku na Iran ila wanachotafuta soon or later watakipata, billions kwenye useless missile huku wananchi wako njaa tupu,hawa watu ni hasara tupu
Mrusi yuko nyuma ya IranUSA hapigani na hawezi pigana na North Korea... lakini Lazma Atapigana na Iran..hiyo ni lazma..na ana wasiwasi Iran ananunua technology toka kwa Kiduku...hiyo inamtisha....
Hahahahaha gama umenichekesha sana dah..!! mzee wa cheche moja tuuh maafa...!!!kwenye nyumba yangu Ya Vioo rusha mawe, kwenye nyumba yako Ya nyasi narusha cheche moja tu
SureKwa nyuzi hizi kila coment inapitiwa!!