Undava Undava tu: Huku KIDUKU! Huku Iran. Iran wameliamsha Dude

leo kasema marekani inatakiwa kufutwa kwenye ramani ya dunia,
waarab na waajem walisema Israel inatakiwa na itafutwa kwenye uso wa dunia : kilichofuata kila mtu anakiona, mataifa kadhaa Ya kiajem na kiarab hayakaliki
 
Naona Wa kwetu wanaendelea kuvunja tofali na kukalia misumali hahahaaaaaa.....wenzetu wanapigana vita na wanadevelop kila siku, tubadilike vita ya sasa hivi ni ya technology siyo ya kushikana mashati.
 
Yaani kim ni mnoma mno,
yaani sasa ni mtukanano tu,
Trump akitupia tusi,hawamcheleweshi wanampa mda huohuo,Bampa to bampa,

leo kasema marekani inatakiwa kufutwa kwenye ramani ya dunia,

hilo ni jibu baada ya Trump kusema ataiangamiza north korea.

Ha ha ha ,Trump nae ndo mwehu kwelikweli maana nae hachelewi kujibu,yaani rais wa marekani amekuwa mtu wa kurushiana mpasho kwenye mitandao na kim,
kijana mdogo sana sawa na mtoto wake
Marekebisho kidogo tu mkuu, kiduku ni sawa na mjukuu kwa Mzee a.k.a dotard.
 
wataalam wa mambo,hivi US anaweza kupigana na nchi ngapi kwa wwakati mmoja zenye uwezo kama wa North Korea au Iran?
Ni vigumu kujua lakini nachoweza kukufahamisha ni kwamba, moja atawatumia maadui zake yaani nchi zenye uhusiano mbovu na nchi hizo, pili marafiki zake yeye mwenyewe. Hapa anaweza tumia ardhi ya nchi-rafiki, wanajeshi wa nchi hizo na wa kwake baadhi ya sehemu.
Pia mbinu za kijasusi ndani ya uongozi wa nchi hizo kwa kupandikiza watu wao kuvuruga na mwishowe kupindua serikali iliyopo madarakani bila wao kuhusishwa moja kwa moja.
 
Mtoto wa shetani utamtambua tu. Hata mama yake akiuawa anashangilia kwa kusea "Yes, kala shaba mamake pumbavu zake", huku anakenua meno kama sokwe chizi!

7e29e3c6d7981e36d4338b0a730aae5f.jpg


Mwarabu kasema majaribio kama hayo yataendelea na yataendelea tu. Kasema hakuna MTU wa kumpangia silaha gani awe nayo na silaha gani asiwe nayo!

Huku KIDUKU anajambisha. Huku Iran anajambisha. "Mad Dog" chapachapa!
 
Mtoto wa shetani utamtambua tu. Hata mama yake akiuawa anashangilia kwa kusea "Yes, kala shaba mamake pumbavu zake", huku anakenua meno kama sokwe chizi!
Ahsante Mkuu. Nashukuru.
 
Kuna jamaa yangu yupo US kila cku anaomba kiduku aliamshe dude ili azamie huko moja ka moja
hahahaa
 
kwenye nyumba yangu Ya Vioo rusha mawe, kwenye nyumba yako Ya nyasi narusha cheche moja tu
Hapo hasara atapata nani zaidi? Nitaenda kukata nyasi nitaezeka tena ww? Hivyo vioo hata ukirudishia gharama itakutoka. Kumbuka kadri muda unayooenda ndivyo gharama inaongezeka.
Zile ghorofa 2 zilizotunguliwa sept 11 zishajengwa? Hapo ndipo hata marekani akifikiria kichwa kinamuuma
 
Back
Top Bottom