Undani wa Zitto Zubeir Kabwe

Kifupi ni kwamba hatujamsahau, hii kupewa kesi mmoja, haitufanyi kusahau yote, simuoni zitto anayejutia makosa yake, zitto bado ni plan B, kwa ccm.
Kikawaida ccm huwa kwa kipindi kama hiki kungekuwa tayari na chama kipya kimeanzishwa kama mtego.
 
Kifupi ni kwamba hatujamsahau, hii kupewa kesi mmoja, haitufanyi kusahau yote, simuoni zitto anayejutia makosa yake, zitto bado ni plan B, kwa ccm.
Kikawaida ccm huwa kwa kipindi kama hiki kungekuwa tayari na chama kipya kimeanzishwa kama mtego.
Usipende sana kufungwa na Historia
 
Zitto ni mtu hatar sana yuko tayari Nchi ife kwa kutafuta masrahi yake binafsi ,anapenda sifa sana ,anapenda vyeo vikubwa

Zitto alianza kuchanganyikiwa pale alipokosa uenyekit PAC . JPM alimjua vizr sana Ndiyo maana kurudi bungeni safari hii ni ndoto za mchana
 
Mnafiki hana jipya. Ukijisahau tu anakuuza kwa adui, aliuza CDM sasa anauza Tanzania mtu was mavi ya kukuk
 
Mwanasiasa za ujanja ujanja kutafuta kiki na pesa. Haeleweki misimamo wake na alipoiongoza kamati ya PAC alishindwa kuibua utumbo aliokuja kuusafisha Rais wetu Konki John.
Juzi anachangia kibaguzi kumtetea mpango eti wanakigoma siowezi. Bora mwiz kuliko "which"?
 
Chuki zako kwa wapinzani hazitakusaidia lolote
 
Mkuu Molemo, uchambuzi mzuri.
Kuna baadhi nami niliyanote hapa
Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya... - JamiiForums

Ila pia kila nikukutana na hili jina
Molemo humu jf, huwa nakumbuka kuipigwa ban yangu ya kwanza na ya mwisho humu jf kwa kosa la name calling kwa kutuhumiwa kumtaja Molemo ni nani ndani ya Chadema.

Hiyo ban inaniuma mpaka kesho, kwa sababu aliyemtaja Molemo ni nani ni member mwingine, mimi nikamuuliza huyo member athibitishe kama kweli Molemo ndio fulani, Mkuu Molemo akaniripoti mimi kwa modes kuwa nimemtaja, kitu cha ajabu, mimi ndio nikapigwa ban kwa kuuliza kama ni kweli Molemo ndie fulani, lakini yule aliyesema Molemo ni fulani hakuguswa! na thread ile ikafungwa.

Japo haya ni mambo ya zamani, lakini ukiona watu unaowajua wako wapi na misimamo yao ni ipi, halafu wanaanza kumsifia Zitto na kumshauri, ningekuwa mimi ni Zitto, I'll have every reasons to fear the Greeks especially when they brings gifts.
P
 
Moja ya kasoro Kama ni kweli aache uasherati wa kuoa kuoa na kuzaa. Kama kweli atapenda kuwa raisi siku moja. Musiba amewataja baadhi ya wake zake Jmgumia, Annie, Muhonga, Mara Sara habiba. Bingwa zipu iko wazi
 
Namba 4 ndo umeharibu kabisa .hujui chochote. Kafanye tena utafiti rhen rudi tena . Watu wamefaidika snaa na cheo hicho
 
Moja ya kasoro Kama ni kweli aache uasherati wa kuoa kuoa na kuzaa. Kama kweli atapenda kuwa raisi siku moja. Musiba amewataja baadhi ya wake zake Jmgumia, Annie, Muhonga, Mara Sara habiba. Bingwa zipu iko wazi
Mkuu Mookiesbad98, wewe unaamini kila kinachosemwa na Musiba, hujui Musiba ni kichaa?.

Musiba anaweweseka sana na Zitto, angalia hapa kichaa Musiba alisema nini kumhusu Zitto na ukweli halisi ni upi

Maadam umesema ni wake zake, na Zitto ni Muislamu mwisho ni wake wanne, hao uliowataja ni wanne, kuna tatizo gani?.

P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…