Unconfirmed News: Navy Seals Tayari Wamefika Peninsula Ya Korea Jana Usiku

alvinroley

Member
Sep 30, 2016
71
251
Kikosi hatari cha makomandoo wa kimarekani ambacho kinasemekena ndio "The Most Feared Force" katika ulimwengu huu cha US NAVY SEAL maarufu kama Frogmen au The Men With Green Faces, inasemekana tayari kiko katika Peninsula ya Korea tangu Jana usiku, kikosi hiki kiliruka kikitokea jimbo la Florida nchini Marekani. Muda wowote kuanzia sasa kitafanya maangamizi ya kihistoria pale Pyongyang. Hiki ni kikosi hatari zaidi duniani ambacho kazi yake ni kufanya operations ambazo ni hatari zaidi mno na za mwisho. US Navy Seal ni mjumuisho wa makomandoo hatari zaidi wanaotumia ujuzi wa hali ya juu na wenye mafunzo ya kitaalamu zaidi kuliko makomandoo wengine wa majeshi yote ya kimarekani.

Makao makuu ya US Navy Seal yapo Naval Amphibious Base, San Diego jimboni California. Makomandoo hawa ni wale tu wenye uzoefu wa hali ya juu wa kupambana popote pale iwe angani, ardhini au majini, na katika hali yoyote ile iwe barafu, mvua au jua. Na ndio maana ya neno SEAL ambayo kirefu chake ni Sea, Air and Land. Ni Mara chache sana kutumika. Hawa ni tofauti na majeshi mengine kama US Army Ranger (lililojichimbia huko North Carolina, Marekani), US Delta Force (lililopiga kambi ya kudumu huko Jimboni Georgia, Marekani) na mengine.

Katika utawala wa Obama, ametoa ruhusa Mara moja tu kwa US Navy Seal kutumika. Mara ya mwisho kilitumika usiku wa manane kwa takribani dakika 45 tu kumuangamiza Osama na ni askari mmoja tu alijeruhiwa kwa ajali ya helkopta zisizotoa sauti ambayo ilikosewa ikagonga ukuta wakati makomandoo wakidrop kwenye makazi ya Osama. Na baada ya Operation Makomandoo hao waliilipua haraka helicopter yao iliyopata hitilafu ili maadui wasigundue teknolojia iliyotumika kutengenezea helicopter hiyo na baada ya kuilipua wakaondoka. Makomandoo wa Navy Seal waliotumika katika Operation hiyo ni 11 tu. Makomandoo hawa walipewa Marubani watatu wataalamu zaidi kutoka US Night Stalker Force au al-maarufu kama Special Operation Aviation Regiment (Airborne) ambayo makao yake makuu yapo Kentucky, Marekani .

Lengo kuu la US Night Stalkers ni kuprovide "Helcopter Aviation Support" kwa majeshi tofauti ya Marekani yanayokwenda uwanja wa vita katika special operations kama ATTACKS, ASSAULTS na RECONNAISSANCE. Na ikumbukwe kuwa Operation hii ilikuwa ikitazamwa live (moja kwa moja/mubashara) kutoka White House ambapo Obama alikuwa akifuatilia, kofia za makomandoo hawa zilikuwa na kamera mbele ambazo zilitumika kurekodi kila kitu kinachoonekana mbele na kurusha kwenye satelaiti had White House. Mkakati huu ulisimamiwa na Mwanamke hatari zaidi anayejulikana kama Alfreda Frances Bikosky ambaye ni Afisa mwandamizi wa CIA na jasusi aliyebobea na pia ni komandoo lakini si memba wa Navy Seal. Bibi Alfreda anajulikana zaidi katika jeshi la Marekani kama MALKIA WA MATESO.

Serikali ya marekani inajitahidi kudhibiti mitandao ya kijamii na google isisambaze picha za mama huyu hatari. Kikosi hiki cha US Navy Seal hutumika baada ya makomandoo wengine wa majeshi tofauti ya marekani kusoma Jiografia ya sehem husika, ramani ya ngome za adui na silaha zake then Raisi wa Marekani hutoa ruhusa ya NAVY SEAL kutumika kumalizia Operation. Baadhi ya majukumu/kazi za Navy Seal ni Direct Operations (kama wanavyotaka kumfanyia North Korea), Strategic Special Missions (kama walivyofanya kwa Osama), Hostage Rescue (kama walivyofanya miaka ya nyuma kuwaokoa Ma-Intelligensia wa Kimarekani waliotekwa Iran) na Foreign Internal Defence.

Mpaka sasa Navy Seal ina jumla ya Makomandoo 8985 ambao ni hatari mno na wenye roho za kinyama. Makomandoo hawa huwa wapo kwenye mazoezi makali ya special operations na trainings ngumu muda wote huko Virginia, Marekani. Mara chache sana Navy Seal huwa Recruited kwenda CIA kufanya kazi za Kiintelligensia wanapotakiwa. Makamu wa Rais wa Marekani bwana Pence yuko Korea kusini na inasadikika ujio wake uliambatana na NAVY SEAL waliojichimbia katika Nyambizi zisizoonekana katika pwani ya Korea..

SOURCE: Maoni katika FOX News, Viewers Questions

MAONI YANGU: Marekani ana silaha nzito kuliko yeyote katika ulimwengu huu, huwez kufanya parade la kuonyesha silaha kama North Korea akohofia kuchukiwa zaidi na Jumuiya za Kimataifa. Defense Systems ziko mabara yote. Hata bajeti ya jeshi tu ni Dola Billion 600 ukilinganisha Dola Billion 7 za Korea kwa mwaka. Marekani hajawah kufanya jaribio la silaha likafeli. Mmeshuhudia MOAB pale Afghanistan, walioshuhudia walisema walichokiona na kukisia walidhan dunia na mbingu vineshagusana tayari. Kim akijaribu atapotea kabisa
 
Kikundi cha makomandoo wa kimarekani ambacho kinasemekena ndio "The Most Feared Force" katika ulimwengu huu cha US NAVY SEAL inasemekana tayari kiko katika Peninsula ya Korea tangu Jana usiku kikitokea jimbo la Florida nchini Marekani. Hiki ni kikosi hatari zaidi duniani ambacho kazi yake ni kufanya operations ambazo ni hatari zaidi mno na za mwisho. Ni Mara chache/nadra sana kutumika. Mara ya mwisho kilitumika usiku wa manane kwa dakribani dakika 45 tu kumuangamiza Osama na ni askari mmoja tu alijeruhiwa kwa ajali ya helkopta zisizotoa sauti ambayo ilikosewa ikagonga ukuta wakati makomandoo wakidrop kwenye makazi ya Osama. Kikosi hiki hutumika baada ya makomandoo wengine wa majeshi tofauti ya marekani kusoma Jiografia ya sehem husika, ramani ya ngome za adui na silaha zake then Raisi wa Marekani hutoa ruhusa ya NAVY SEAL kutumika kumalizia Operation. Makamu wa Rais wa Marekani bwana Pence yuko Korea kusini na inasadikika ujio wake uliambatana na NAVY SEAL waliojichimbia katika Nyambizi zisizoonekana katika pwani ya Korea..

SOURCE: Maoni katika FOX News, Viewers Questions

MAONI YANGU: Marekani ana silaha nzito kuliko yeyote katika ulimwengu huu, huwez kufanya parade la kuonyesha silaha kama North Korea akohofia kuchukiwa zaidi na Jumuiya za Kimataifa. Defense Systems ziko mabara yote. Hata bajeti ya jeshi tu ni Dola Billion 600 ukilinganisha Dola Billion 7 za Korea kwa mwaka. Marekani hajawah kufanya jaribio la silaha likafeli. Mmeshuhudia MOAB pale Afghanistan, walioshuhudia walisema walichokiona na kukisia walidhan dunia na mbingu vineshagusana tayari. Kim akijaribu atapotea kabisa
Mkuu labda tufanye usahihisho kidogo tu kujazia nyama ni kuwa USA anaenda kupambana na Russia hivyo basi sisi tunao shabikia hii vita tulijue hilo na matokeo yake
 
Ujanja wa US ni kutumia anga. Wakipeleka hao wanaowaita wataalamu sijui makomando Navy seal watajuta.
Niwaonavyo n/Korea kwa ground combat hawarudi nyuma wala hawatakata tamaa. Nahisi hatarudi hata komando mmoja...

Kumuua Osama akiwa na watoto na wanawake kadhaa na kasmg kamoja ni tofauti na kumvamia Kim aliyezungukwa na elites ambao wako radhi kufanya lolote kwa ajili ya kiongozi wao Bila kuwa na option ya kujisalimisha, ni tofauti na wale jamaa wa Sadam waliovua magwanda na kujichanganya mitaani kama raia kwa hofu kubwa.
 
Ngonjera hizo
vita sio Porojo kama unakula Matango!!
Jiulize kwanini huwa haingii vitani yeye kama yeye
kwanini anaomba washirika!!?

Kama unashangiria hilo
jiandae kuona Historia mpya kutoka hao korea,
hawana chakupoteza hao
maana wao wapo Kando na Walimwengu siku nyingi tu.
Kombora linaweza tua kokote
hata Bukoba
Ilimradi limetumwa
hawa sio watu wakuchokozwa
 
Ujanja wa US ni kutumia anga. Wakipeleka hao wanaowaita wataalamu sijui makomando Navy seal watajuta.
Niwaonavyo n/Korea kwa ground combat hawarudi nyuma wala hawatakata tamaa. Nahisi hatarudi hata mmoja...
, umeona US Wana airforce nzuri basi unajua sehemu nyngne wako weak... US navy na marine corps zimeplay role kubwa katika vita nyngi ambazo US imeshiriki na c airforce km unavyoamini
 
u made ma dei aiseeh kwel ata bukoba waache wachekelee tuh
 
Ngonjera hizo
vita sio Porojo kama unakula Matango!!
Jiulize kwanini huwa haingii vitani yeye kama yeye
kwanini anaomba washirika!!?

Kama unashangiria hilo
jiandae kuona Historia mpya kutoka hao korea,
hawana chakupoteza hao
maana wao wapo Kando na Walimwengu siku nyingi tu.
Kombora linaweza tua kokote
hata Bukoba
Ilimradi limetumwa
hawa sio watu wakuchokozwa
Uoga wako pole sana
 
Ujanja wa US ni kutumia anga. Wakipeleka hao wanaowaita wataalamu sijui makomando Navy seal watajuta.
Niwaonavyo n/Korea kwa ground combat hawarudi nyuma wala hawatakata tamaa. Nahisi hatarudi hata mmoja...
Kaka unaposema wakorea kwenye anga ni wazima. Hivi unajua na umesoma hao NAVY SEAL ni akina nani? Hayo ni mjumuiko wa makomandoo habari kutoka majeshi yote. Hao wamefundishwa kutumika katika anga, ardhi na baharini. Kirefu cha neno SEAL ni SEA, AIR and LAND yaani ni makomandoo waliobobea kupigana popote ndio maana ya neno NAVY SEAL. Neno SEAL linajumuisha Sea, Air and Land yaan wao popote wamebobea
 
Ona vita ilivyo mbaya aise marekani anawapiga wao wakiona wanashindwa wallah amini usiamini wataungana na makundi yote ta kigaidi kana ISIS na alshabab na mengine watagawa siraha za nyuklia kuishambulia Israel hapo Kuna mtu anausoma mchezo Wa kujiimarisha kijeshi na kiuchumi na kijeshi Russia bado Ana makovu ya kusambaratikA kwa USSR mnafki mkubwa akiwa marekani, Vietnam wamekaa kimya wanausoma mchezo pooo pia bado wana makovu atomic bomb mpaka leo, mfanyabiashara China anazisoma fursa za kibiashara baada ya uchumi wa marekani kuyumba kwa vita, vita kitu kibaya sanaaa mungu tuepushe
 
, umeona US Wana airforce nzuri basi unajua sehemu nyngne wako weak... US navy na marine corps zimeplay role kubwa katika vita nyngi ambazo US imeshiriki na c airforce km unavyoamini
Kwa ninavyodhani sio korea Kaskazini wala China wala japani wala Vietnam hao ni damu tofauti. Baghdad tu walianza na mabomu kama mvua ndio hao jamaa wapata ujasiri wa kuingia.
 
Ngonjera hizo
vita sio Porojo kama unakula Matango!!
Jiulize kwanini huwa haingii vitani yeye kama yeye
kwanini anaomba washirika!!?

Kama unashangiria hilo
jiandae kuona Historia mpya kutoka hao korea,
hawana chakupoteza hao
maana wao wapo Kando na Walimwengu siku nyingi tu.
Kombora linaweza tua kokote
hata Bukoba
Ilimradi limetumwa
hawa sio watu wakuchokozwa
wenzako vita kwao ni sehemu ya biashara, akienda vitani na nduguze wa NATO watanunua silaha nyng kwake iliwaelekee kunako battle, jamaa wanatanguliza maslahi mbele, hata ile coalition yake pale syria wote ni allies wake google uone wamenunjua weapons kiasi gani US mwaka jana kwajili anti-isis campaign....
 
Usimpangie aendeje vitani!!!

Maana Tizii peke yake ilichapa Uganda kwa hiyo hata USA tunawamudu?!!
 
Back
Top Bottom