Uncle wake gal friend wangu

Uncle wake gal friend wangu

iki na oko na senti tano ya kisasa
aliyekula dona, na nguru wa kuchoma......hahahah!
mie naimba tu best nami nimejikuta nawa mtoto ghafla...JF bhanaa!


''.........ala do salale mpenzi kaondoka jana!!''...

aisee hivi kumbe nimekuwa eenh..................ilikuwa zamani kidogo hii aisee.
 
Anachojibu kuwa nae alikuwa akimkela so sina shida kwa demu wangu tatizo kwa huyu uncle ndo simwelewi..?!

huna adabu nakwambia , we ungemwambia huyo dem wako apunguze hayo matani, kwani mtu akikutania usipointertain ataendelea,nani anapenda kujiongelesha mwenyewe,nakwambia huyo gf ana tatizo ila kwa bahati mbaya we huoni ndio ushakufa ushaoza so muache kumtuhumu huyo uncle wa watu, muheshimu pls narudia dil na huyo mwenzi wako.
 
Jaman nna girl wangu kama miezi 4 sasa, alinipa password ktk account yake fb pia yangu anayo. Sasa katika pita zangu kuna mdogo wa mama yake (uncle yake) yuko masomoni abroad huwa anachat nae saaana tu. Sasa maongezi yao yametawaliwa na mapenzi eti wanataniana lakini mm nkavumilia miezi mingi sasa. Sasa nka pm uncle mtu bwana punguzeni huo utani manake mnanikosesha raha sasa jamaa kaja juu anamwambia gal frnd wangu eti nimemwambia kuwa yy gal frnd wangu aliniambia anamtongoza wakati yy kaka ake. Yaani katumia hasira na kusema wasijuane tena. Sasa najiuliza kama ungekuwa utani si angepotezea tu? Kwann afanye yote hayo kwa hasira kama si kweli?! Nisaidieni kimawazo wana jf

Sijakusoma!
 
Ukmchunguza bata uwez mda! Ucrudie tena utakufanya na presha, kila m2 anapenda flirtn
 
Ukmchunguza bata uwez mla! Ucrudie tena utakufanya na presha, kila m2 anapenda flirtn
 
huna discipline......

Utafanyaje uamuzi kama huo kwa kutumia wivu wako? Badala ya evidence?
 
Mpaka password umetoa, kweli umependa mkuu, sasa ukioa sijui utatoa nini!
 
Back
Top Bottom