Uncle wake gal friend wangu

Uncle wake gal friend wangu

dr samg

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2012
Posts
292
Reaction score
163
Jaman nna girl wangu kama miezi 4 sasa, alinipa password ktk account yake fb pia yangu anayo. Sasa katika pita zangu kuna mdogo wa mama yake (uncle yake) yuko masomoni abroad huwa anachat nae saaana tu. Sasa maongezi yao yametawaliwa na mapenzi eti wanataniana lakini mm nkavumilia miezi mingi sasa. Sasa nka pm uncle mtu bwana punguzeni huo utani manake mnanikosesha raha sasa jamaa kaja juu anamwambia gal frnd wangu eti nimemwambia kuwa yy gal frnd wangu aliniambia anamtongoza wakati yy kaka ake. Yaani katumia hasira na kusema wasijuane tena. Sasa najiuliza kama ungekuwa utani si angepotezea tu? Kwann afanye yote hayo kwa hasira kama si kweli?! Nisaidieni kimawazo wana jf
 
we nawe c ungemwambia huyo gal frend wako apunguze matani,kilichokusibu kwenda kwa uncle ni nini,huna adabu,kaombe radhi,hata kama umeoa na mkeo anacheat,deal na mkeo sio third part
 
Kwenye maelezo yako ni uncle wake, lkn huyo uncle akawaka na kusema yeye ni kaka yake, now which is which?

Anachojibu kuwa nae alikuwa akimkela so sina shida kwa demu wangu tatizo kwa huyu uncle ndo simwelewi..?!
 
kosa ulilofanya ni kuchunguza sana,give her her space na umtengenezee mazingira ya kuwa mwaminifu baaassss,ukichunguza chunguza utakufa kwa presha bureeee
 
Kwenye maelezo yako ni uncle wake, lkn huyo uncle akawaka na kusema yeye ni kaka yake, now which is which?

Its confusing bt nngependa kujua analengo gani maana hakujua kama naelewa anachofanya all days
 
Jaman nna girl wangu kama miezi 4 sasa, alinipa password ktk account yake fb pia yangu anayo. Sasa katika pita zangu kuna mdogo wa mama yake (uncle yake) yuko masomoni abroad huwa anachat nae saaana tu. Sasa maongezi yao yametawaliwa na mapenzi eti wanataniana lakini mm nkavumilia miezi mingi sasa. Sasa nka pm uncle mtu bwana punguzeni huo utani manake mnanikosesha raha sasa jamaa kaja juu anamwambia gal frnd wangu eti nimemwambia kuwa yy gal frnd wangu aliniambia anamtongoza wakati yy kaka ake. Yaani katumia hasira na kusema wasijuane tena. Sasa najiuliza kama ungekuwa utani si angepotezea tu? Kwann afanye yote hayo kwa hasira kama si kweli?! Nisaidieni kimawazo wana jf
pole kwa kujiua mwenyewe loo
 
kosa ulilofanya ni kuchunguza sana,give her her space na umtengenezee mazingira ya kuwa mwaminifu baaassss,ukichunguza chunguza utakufa kwa presha bureeee

Me nmenwacha free bt hili la uncle lilinitisha au ndivyo wasukuma walivyo mkuu?
 
Jaman nna girl wangu kama miezi 4 sasa, alinipa password ktk account yake fb pia yangu anayo. Sasa katika pita zangu kuna mdogo wa mama yake (uncle yake) yuko masomoni abroad huwa anachat nae saaana tu. Sasa maongezi yao yametawaliwa na mapenzi eti wanataniana lakini mm nkavumilia miezi mingi sasa. Sasa nka pm uncle mtu bwana punguzeni huo utani manake mnanikosesha raha sasa jamaa kaja juu anamwambia gal frnd wangu eti nimemwambia kuwa yy gal frnd wangu aliniambia anamtongoza wakati yy kaka ake. Yaani katumia hasira na kusema wasijuane tena. Sasa najiuliza kama ungekuwa utani si angepotezea tu? Kwann afanye yote hayo kwa hasira kama si kweli?! Nisaidieni kimawazo wana jf

Ni vipi kaka/mjomba anamwambia dada/mpwa wake wasijuane tena? Uhusiano wa kindugu haumalizwi kwa staili hiyo, ndugu atabaki kuwa ndugu no matter what.
Isipokuwa uhusiano wa mapenzi unaweza kumalizwa kwa staili hiyo, sijui na wewe umehakikisha vipi kuwa huyo ni kaka/mjomba wake.
 
Kwa maelezo yao mkuu
 
Kwenye maelezo yako ni uncle wake, lkn huyo uncle akawaka na kusema yeye ni kaka yake, now which is which?

Pia mie sijamuelewa hata kidogo, halafu si unajua shule zimefungwa...........!:confused2:
 
you cant be serious

Back
Top Bottom