account inasoma benk alie nini? angeachwa nyumba ya mkopo.gari ya mkopo watoto ada ya mkopo angebebeka kweli?Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.
mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?
Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu
Apumzike ivan.
Mis natafuta usitake nichek tupo msiban wajuwaaccount inasoma benk alie nini? angeachwa nyumba ya mkopo.gari ya mkopo watoto ada ya mkopo angebebeka kweli?
ila wanaume wetu acheni kukopa jamani kumbukeni kuna kesho
poleeeMis natafuta usitake nichek tupo msiban wajuwa
Sio mume ni ex-mume. Kujigaragaza kutasaidia nini?Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.
mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?
Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu
Apumzike ivan.
Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.
mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?
Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional
Apumzike ivan.
wanyakyusa ndo wanachukua hadi vipaza sauti kupigilia yoweUnataka alie kama wangoni?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]wanyakyusa ndo wanachukua hadi vipaza sauti kupigilia yowe
Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.
mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?
Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional
Apumzike ivan.
angepiga ukunga mgesema ni mnafiki.Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.
mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?
Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional
Apumzike ivan.
Unatafuta kuchambwa na Team bosslady[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.
mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?
Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional
Apumzike ivan.
nmecheka kwa nguvuwanyakyusa ndo wanachukua hadi vipaza sauti kupigilia yowe
Wanaopiga ukunga ni wafiwa wa bongo kwa sababu wamejaa unafikiWatu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.
mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?
Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional
Apumzike ivan.
Unatafuta kuchambwa na Team bosslady[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
shaurizoo
hapana chezeanmecheka kwa nguvu
mpaka watu wamegeuka[emoji23][emoji23][emoji23] uwiii!
usinikumbushe Jovaaaaaa, Kansondokilee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio ex mume, zarina alikuwa na waume wawili kama ambavyo wanaume wanaweza kuwa na wake wawili. So zari kapoteza Mme mmoja kabakiza mmoja.Sio mume ni ex-mume. Kujigaragaza kutasaidia nini?
mimi nmechammbwa mpaka sina hamu[emoji23]huo ndo ukweli mme alokupa watoto?ni kitu kingine