miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Kwa sababu we ni mkorof huna uvumilivu kama ulishindwa mbele ya wageni na ndugu zake alafu bado anajilazimisha kukupa taarifa .... i know what next in your mariage any way let me pray for good and not bad.... ila kwa mtazamo wangu bibie angetakiwa awe come.kwa nini unasema maneno makali hivi?
Hadi uje uoe tutakuwa tumekukoma....
sawa si vibaya ukitupiamo na vipicha vya hapa na pale..
Dude, we gonna put your a.ss in our prayers.
Kwa sababu we ni mkorof huna uvumilivu kama ulishindwa mbele ya wageni na ndugu zake alafu bado anajilazimisha kukupa taarifa .... i know what next in your mariage any way let me pray for good and not bad.... ila kwa mtazamo wangu bibie angetakiwa awe come.
yeye ndo kafika kwa taarifa yako.
wewe nawe!!! ili iweje sasa.
ndo nini?
Anaongeza page!!
hiyo ngumu, hapa kila mtu kajificha, wewe mwenyewe avatar ya uongo, tuendeleeni hivi hivi.
Hizi movie hizi,
asante mkuu, ila hiyo a.ss kama vile umenitukana.