Uncle, nitafanya maajabu ukweni

Inategemea...kama wife ana mshahara 2.5...kuna shida gani ukitoa mahali 3m...inawezekana umewanyang'anya cash cow wao
 
dah mie napendaga vituko vyako kama "muvi" vile...wakileta za kulata rusha makunde wawil mattatu hahahahaah(kiding)
 
Poa.
Mkeo ana ajira?

ndiyo, kwani kuna mtu hana ajira? labda ungeuliza ajira gani, hata kijana aliyepo nyumbani tu ana ajira ile ya kutumwa hapa na pale na kusaidia kazi za nyumbani.
 
dah mie napendaga vituko vyako kama "muvi" vile...wakileta za kulata rusha makunde wawil mattatu hahahahaah(kiding)

kwa nini unaviita vituko mkuu?
 
ndiyo, kwani kuna mtu hana ajira? labda ungeuliza ajira gani, hata kijana aliyepo nyumbani tu ana ajira ile ya kutumwa hapa na pale na kusaidia kazi za nyumbani.

Unaongea sana.....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…