Pande za Pasua Moshi kulikuwa na Mashetani wekundu,Nyuki na Kachumbari FC iliyokuwa chimbuko la vijana wa Nyuki na Pasua FC ikiongozwa na Hemedi Kibiriti,Andwele,iddi Babu na wengine weni kina Kadege Maswala

hahahaha..nakumbuka mechi ya OPEC ya Mikocheni na Abajalo ya Sinza...kipindi hicho Kali ongala yuko Abajalo..mimi niko OPEC
mchizi alitupiga tatu huku Abajalo kashinda 5-2...mimi nilitupia moja

Dah! Umenikumbusha mbali kweli mkuu, FC OPEC ndio lilikuwa chama letu na makao yake makuu yalikuwa pale mikochemi A ccm. Ilikuwa ni lazima tuifuate popote inapocheza, iwe magunia, lugalo, kawe, nk.