queenlishas
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 288
- 76
Nakumbuka vizuri sana nilishaambiwa nina mikono mirefu utafikiri mpokea maiti
Sura Mbaya uki muangalia mgonjwa ana kufa
Mi nakumbuka nilitaniwa,,,,eti uso mpana kama gaguro la mhindi........
Mm niambiwa nmekomaa hadi kwenye kitabu cha mungu nmeftika
Kwenu pachafu mpaka mende wamepakimbia