Unazikumbuka enzi hizi?

Nashukuru sana umenikumbusha mbali sana enzi hizo mambo yalikuwa matamu sana,siku hizi ovyo ukimwi nao unatumaliza
 



















Picha kwa hisani ya Fresher -

MASHOROBALO WA UKWEEELI.. asee asiyegonga Like kwenye hii thread Mods Mpeni BAN!!!!!
enzi hizooo.. enzi hizoo za ukweli.. Kitu ukimwi kilikuwa Hakipo kabisaa.. watu wanaila nchi.. nchi inalika..Unakata wiki zima Ukimuomba mjomba wako redio ukapige nayo picha Studio.. hatimae unaipata kwa masharti kibaoo.. ebanaee
 
Jamaa pozi lake ni la hali ya juu na hilo bugaluu 🙂🙂 Mhhhhhh!



 
Watu wa zamani walikuwa wanapendeza sana.
 
Saaafi saaana, peleka makumbusho ya Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…